Nimejifunza mengi katika muda mchache

Nimejifunza mengi katika muda mchache

Pole kwa uliyopitia. Watu wengi tunapenda kujifunza kwa njia ngumu kwa sababu ya kupenda kupuuzia mambo. Kuwa na akiba ni muhimu sana sana sana. Nimejifunza pia kwa sasa sikosi akiba kuna mambo yanatokea kama ajali na hayana kusubiri kwa mfano magonjwa, ajali n.k
Kabisa, na Mimi mwezi uliopita nilipatwa na changamoto ya Wife kujifungua kwa Operation.

DCMC - Dodoma wako vizuri sana, Daaah bila wao sidhani kama wife agekuwa sawa.

Tujifunze kuweka akiba, akiba haiozi. Changamoto za Maisha hazipigi hodi.
 
Uko sahihi pia.
Na sio akiba ya pesa tu, tuwe na akiba ya watu.Tz hii watu/connection inakugurantee usalama na Bima kwa kiasi kikubwa, vingine unajiongeza sasa na wewe, MKONO MTUPU HAULAMBWI
😃😃 sawa mkuu, ila mbona kama unasound kama polisi.
 
😃😃 sawa mkuu, ila mbona kama unasound kama polisi.
Hahaha, hamna ndugu:Koo zetu zoye, upande wa Baba na Mama tangu kuumbwa kwa ulimwengu huu hatujawahi kuwa na polisi, afande magereza, mgambo etc..Mjeshi mmoja tu, naye alivunjwa mguu wa kati wa vita vya Kagera, amekufa 2000's hoi taabani Sisi hiko hatupo kabisa
 
😃 Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom