Nakubaliana NaweNdio shida ya uchumba wa mijini huu, hii habari yako ina mushkeli mkubwa kwakuwa kwa sehemu kubwa mshenga ndio humaliza kila kitu
Na hata kama ni kujitambulisha binafsi unatakiwa uwe umeshafanya ushushushu wa familia husika na jinsi ya kudeal nayo
Hii ni mbaya sana ni lazima uwe halisi tangu mwanzo ili wachague kusuka au kunyoaNakubaliana Nawe
Pia Watu Wote Hatuwezi Kulingana Uwezo Na Ushushu Hukufanya Kujua Ikiwa Family Ile Mnaendana
Kuna Jamaa Alinunua Gari Japan Kwa Mkopo Kisa
Mkewe Kwao Wanauwezo Mkubwa.
Unakumbuka kisa wimbo wa pendo?Hii ni mbaya sana ni lazima uwe halisi tangu mwanzo ili wachague kusuka au kunyoa
Duu siku hizi huwezi kuzipata tungo kama hiziUnakumbuka kisa wimbo wa pendo?
Pendo mimi mume kazi yangu ni kibaaya
Cha kuponda kokoto hapa mjini pend eee
Ulipokuja kwetu kunioa ukisema we we ni muhasibu na una magari mifugo na mashambq vp leo uniambie wewe ni mponda kokoto?
Ila bint alimwambia jamaa asinge mdanganya na ajibidiishe Penywaun elimu kwani haina mwisho.
So haya mambo yanatokea sana ila ukweli utakuweka huru sio ujitutumue nawe kudanganya.
Mmh kuna familia unaweza jikuta tu umeghairi kuoa/kuolewa huko. Ndo maana tunasemaga chunguza na familia/ukoo wa mwenzi wako kabla hamjaamua kuoana.
Hivi tuseme hawakumuuliza binti chochote kabisa kuhusu mtarajiwa wake hadi mtu afike kujitambulisha ndo muanze kujidhalilisha "eti nilijua shem, shem kweli" mweee. Disgusting! !!
Of course maswali mtamuuliza but inakuwa tu kama kupiga story ili mfahamiane zaidi coz details zake za muhimu lazima binti awe ashawapa mapema ndo mfikie kusema "mlete au usimlete". Me rafiki angu tu akiniambia ana new baby lazima atanipa A, B, C zake. Hivi mtu atasema tu nimepata mchumba afu msiulize chochote mmwambie tu "mlete" mmh?
Fine, mchumba hajameet expectations zao, wameshindwa kujikaza hadi mtu aondoke ndo walete mashauzi yao? They didn't have to stoop so low. Sipati picha binti ndo akipelekwa kwenye hiyo familia, atakavyochambuliwa
kuna familia zina mambo ya ajabu sanaaaa af wanawake ndo huwa tuna matatizo wanaume hawana shida eti, ndo mana tunaambiwa tuchunguze na familia za wenza wetu ili kuepuka udhalilishaji kama huo. Sipati picha naenda ukweni navoanza kunyambuliwa sasa weeeeeMmh kuna familia unaweza jikuta tu umeghairi kuoa/kuolewa huko. Ndo maana tunasemaga chunguza na familia/ukoo wa mwenzi wako kabla hamjaamua kuoana.