Nimejiandaa kisaikolojia nitakapokwenda kujitambulisha ukweni

Yeahh yaan kwenda ukweni kichwa kichwa ni upuuzi kwa nini mtu asifanye ujanja uwajue vizuri wengi wao hata kama sio wote kabla ya kwenda..

Mbona simple sana kama una mpango naye zile out out haina shida leo kaja na mdogo wake kesho na binamu zake unawapigisha misosi kama wanalewa poa na transport uhakika mpaka kwao kaka zake kama sio wakuda sana unawalinda linda kihivyo

Siku official ukienda kwao mbona wanatamani umchukue siku hiyo hiyo kila mmoja anajidai anakujua wanaleta story nyingi wewe unacheki mission na vission yako hapo hahah
Exactly, at least uwafahamu ndugu zake wawili watatu, watu/rafiki zake wa karibu hivyo. Maana siku hizi tunakutana kimjimjini, sasa uhusiano wakufahamiana nyie wawili tu khaa. Kwenye kufahamiana huko +story za hapa na pale kunaweza kukusaidia ukajua A, B, C za familia na ukoo pia, wanaishije, mila, desturi etc. Ila Benny unapenda pombe hahahhaah, ntakuja kesho kuchafua meza yako na fanta
 
kuna familia zina mambo ya ajabu sanaaaa af wanawake ndo huwa tuna matatizo wanaume hawana shida eti, ndo mana tunaambiwa tuchunguze na familia za wenza wetu ili kuepuka udhalilishaji kama huo. Sipati picha naenda ukweni navoanza kunyambuliwa sasa weeeee
Hahaha kuchambuliwa mbona jiandae tu lol. Seriously wanawake ndo huwa tuna matatizo zaidi na mahusiano ya ndugu zetu. Hiyo familia ndo binti unapelekwa Hehehe utakaguliwa hadi vidole vya miguu na masikio, yani sipati picha. Inahitaji moyo sana
 
Aisee! mkuu ushaanza kunitisha,hivi karibuni nategemea kupeleka posa. Na kwa details nilizopata ni kwamba baba mkwe ni mkorofi balaa...na huwa hana soni kwa mtu yeyote hata kama ndo anakuona kwa mara ya kwanza.
Sasa nikiunganisha dots hapo juu ndo tumbo linazidi kuniuma yani. Sijui nitatoka salama siku hiyo!? nawaza tu mwenyewe.
Jitahidi tu kuwa real. Kingine cha muhimu omba tu kwa Imani yako Mungu akupe "KIBALI" huko unapoenda. As far as navyojua, huwezi ukamuimpress kila mtu, unaweza ukadhani ukifanya A ndo watanipenda kumbe ndo wasikupende kabisa. Wewe nenda tu na kibali cha Mungu, utashangaa unafika unapokelewa kwa upendo + kukubalika hadi hutoamini. Kila la kheri mwaya
 
Exactly, at least uwafahamu ndugu zake wawili watatu, watu/rafiki zake wa karibu hivyo. Maana siku hizi tunakutana kimjimjini, sasa uhusiano wakufahamiana nyie wawili tu khaa. Kwenye kufahamiana huko +story za hapa na pale kunaweza kukusaidia ukajua A, B, C za familia na ukoo pia, wanaishije, mila, desturi etc. Ila Benny unapenda pombe hahahhaah, ntakuja kesho kuchafua meza yako na fanta

Hahaha..beer hahah yaan hizo ni njia zangu japo nimeanzia kwa Dady ako kabisa yule mama sijui kama ananikumbuka mashemeji kina Raimundo watanisaidia

Dooh! team fanta passion wacha nikubali tu kwa shingo upande ili uje na mabinamu nizidi kutangaza nia
 
Hahahaha...yaan hizo ni njia zangu japo nimeanzia kwa Dady ako kabisa yule mama sijui kama ananikumbuka mashemeji kina Raimundo watanisaidia

Dooh! team fanta passion wacha nikubali tu kwa shingo upande ili uje na mabinamu nizidi kutangaza nia
Hahaha yule mama kama hujamtumia hela, basi atakuwa hakukumbuki. cousins ntakuja nao, mmoja tu ndo mwanachama wako teh
 
Hahaha yule mama kama hujamtumia hela, basi atakuwa hakukumbuki. cousins ntakuja nao, mmoja tu ndo mwanachama wako teh
Hahah,.asante umenikumbusha nitamcheki mama weekend nimegundua unajali na hutaki nikose,mwambie na mwanachama ntafurahi kumuona na hiyo siku awe amekula vizuri
 
Ndio shida ya uchumba wa mijini huu, hii habari yako ina mushkeli mkubwa kwakuwa kwa sehemu kubwa mshenga ndio humaliza kila kitu
Na hata kama ni kujitambulisha binafsi unatakiwa uwe umeshafanya ushushushu wa familia husika na jinsi ya kudeal nayo
Yap ni kweli mkuu,ila c unajua saa nyingine kupendana na kufikia maamuzi ya kuwa wamoja huja tu bila taarifa!?
 
Ndo sbb, posa wanapokeaga wanaume then wanawake wanataarifiwa, manake mwanaune hata akiwa na hela vp hawez dharau mwenzie, wengi wao wanajua shida za kutafuta, n tofaut sana kwa wanawake
Kabisa mkuu!
 
Nakubaliana Nawe
Pia Watu Wote Hatuwezi Kulingana Uwezo Na Ushushu Hukufanya Kujua Ikiwa Family Ile Mnaendana
Kuna Jamaa Alinunua Gari Japan Kwa Mkopo Kisa
Mkewe Kwao Wanauwezo Mkubwa.
daa! Maisha yana mengi!
 
Mmh kuna familia unaweza jikuta tu umeghairi kuoa/kuolewa huko. Ndo maana tunasemaga chunguza na familia/ukoo wa mwenzi wako kabla hamjaamua kuoana.
Hivi tuseme hawakumuuliza binti chochote kabisa kuhusu mtarajiwa wake hadi mtu afike kujitambulisha ndo muanze kujidhalilisha "eti nilijua shem, shem kweli" mweee. Disgusting! !!

Of course maswali mtamuuliza but inakuwa tu kama kupiga story ili mfahamiane zaidi coz details zake za muhimu lazima binti awe ashawapa mapema ndo mfikie kusema "mlete au usimlete". Me rafiki angu tu akiniambia ana new baby lazima atanipa A, B, C zake. Hivi mtu atasema tu nimepata mchumba afu msiulize chochote mmwambie tu "mlete" mmh?

Fine, mchumba hajameet expectations zao, wameshindwa kujikaza hadi mtu aondoke ndo walete mashauzi yao? They didn't have to stoop so low. Sipati picha binti ndo akipelekwa kwenye hiyo familia, atakavyochambuliwa
Haya jambo wakati mwingine cjui huwa watu wanayapelekaje. Nadhani kuna usiri flani watu huwa wanaweka.
 
Back
Top Bottom