Nimejiandaa kisaikolojia nitakapokwenda kujitambulisha ukweni

Nashukuru Mungu wakwe zangu ni wastaarabu sana kwanza nilipiga 2 in 1 nilienda asubuhi kujitambulisha na jioni nikatoa mahari siku moja tu ila umenikumbusha nikapunguze deni maana mpaka naoa nadaiwa ingawa sitakiwi kumaliza.
 
Duu!
 
Haya ya hivi yanatakiwa tukutane nayo wanaume sio wavulana. Mbona ishu ndogo tu hii na jibu lake ni dogo tu lenye maana itakayoishi miaka yote ya uhai wao. Unalia kisa umejibiwa mbovu? Piga kimya, inuka na uliokuja nao sepa, nenda kaanze maisha mapya. Kwani nin, wakae kumsubiri huyo wanaomtaka aje kuoa kwao. Kuwa mwanaume ni zaid ya kuhudumia familia.
 
Aisee! mkuu ushaanza kunitisha,hivi karibuni nategemea kupeleka posa. Na kwa details nilizopata ni kwamba baba mkwe ni mkorofi balaa...na huwa hana soni kwa mtu yeyote hata kama ndo anakuona kwa mara ya kwanza.
Sasa nikiunganisha dots hapo juu ndo tumbo linazidi kuniuma yani. Sijui nitatoka salama siku hiyo!? nawaza tu mwenyewe.
wanawake wengi hivi kwani ni lazima kujiingiza wenye matatizo mapema hivyo.
 
Oa single mother hizo dharau zote hutazipata yani utapokelewa kama mfalme tena!.
 
Back
Top Bottom