Nimejiandaa kisaikolojia nitakapokwenda kujitambulisha ukweni

Hahaha nyie wanawake tuna kazi jamani. Hadi mtu afikie kukupeleka kwao officially ni shughuli, bado ufike kule waseme "hatujampenda" khaa. Me kuna rafiki angu wifi ake alimchamba eti "kwa yale masikio hata tukimpeleka maznat siku ya harus tutapoteza tu hela yetu, hatopendeza", eti ana masikio kama upawa wa mchuzi uuuh. Ukikaona hako karafiki kangu kalivyo kazuri maskini mweee
hahahahahaha jamaniiii wanawake sisi loh
 
Amini nawaambia "Ni bora ujishushe kisha udharaulike kuliko ujikweze usifiwe halafu mwisho wa siku uonekane hamnazo!!
 
Ha ha ha, daaa! Eti tutapoteza hela bure, cpati picha mhusika anaposkia hyo kitu. Na hv kampenda jamaa basi ataona kama dunia imegeuka juu chini!
Mmh wewe acha tu, sema bado wapo wote na baby ake, mawifi sasa hivi wako poa kabisa, soon tutacheza kwaito Inshallah
hahahahahaha jamaniiii wanawake sisi loh
Hahaha wanawake tunapitia mengi jamani uwiii
 
Kwanza nawasalimu wajumbe humu!

Mimi bado sijaoa ila muda c mrefu nitaoa. Ingawa bado ila nimeshuhudia watu wawili ktk hatua za awali walipoenda kujitambulisha ukweni.

Mfano, rafiki yangu alitoa machozi kwa sababu ya hili jambo. Jamaa alipokwenda kujitambulisha alikutana na vitimbi balaa toka kwa mashangazi na mashemeji aisee!

Kwanza wakwe wakamuuliza sijui dini yake, kabila, wazazi wake kama wapo na km wapo wanafanya kazi gani. Balaa likaja alipoulizwa yeye anafanya kazi gani? Jamaa alipotaja kazi yake tu kumbe akawa kinyume na matarajio yao. Jamaa kazi yake si mbaya kihivyo kwa sababu ni ya kipato cha kati tu yani hizi hizi laki 5,6.

Baada ya jibu lile madada wengine wa bnt wakanynyuka na kujifanya wanaendelea na mambo mengine, mashangazi ndo kubinua na midomo kidogo. Mbaya zaidi kuna kauli aliitoa dada wa binti kwamba kama kiutani utani hivi, akasema "tulijua shem kweli shem! Shem litaingia hapa na miguu minne, Eeee flani(akitaja jina la mdogo wake) kweli safari hii umetuletea shemeji!" Alisema hivyo huku akijinyanyulisha na kujifanya kuna kitu anakiangalia angalia.

Kilichotokea pale binti akaanza dondosha chozi palepale. Wazazi walikuwa kimya kidogo. Baadae wakamwambia jamaa aende watamjulisha kinachoendelea. Jamaa akaondoka zake na watu wake akaenda kulilia kwake huku akisema "kama ndo hivyo bora flani mi niachane nae tu". Ila cha kushukuru jamaa yangu wakwe walimkubalia na ashamaliza kila kitu hadi harusi, japo ni kitu huwa anakikumbuka sana.

Nilicheka ila nilijifunza kitu kikubwa kwa sababu kwa tukio lile nilifumbuka sn macho, na kama ikija nitokea na mimi sitakuwa mgeni na hvyo vioja.

Nashauri wale wenzangu tuliokaribia kufika ukweni kwa mara ya kwanza tujiandae kisaikolojia. Na wale makaka zetu waliopita huko watufumbue macho zaidi, japo naamini si wote walopitia njiia hii ya udhalilishwaji kidogo!
Asante kwa shule ya bure kabisa bila ya ada.....hii ni zaidi ya elimu bure sera ya magu!!
 
Kwenda kujitambulisha ukweni, huitaji kuwa na dudu ya miguu minne (gari), ukiwa na dyudyu ya mguu mmoja (ambayo iko kwenye good running condition) ni sufficient condition ya wewe kupewa mke!
 
ukiskia uchumba wa kimjinimjini ndio huo... wewe unatakiwa mpaka unaamua kuoa uwe unawafahamu ndugu zake na wao wakufahamu wewe na ndugu zako.
 
Usipokuwa mvumilivu kama huyo jamaa,unawezajikuta ushatukana hata kwa sauti ya chinichini.
 
Mleta mada huyo jamaa yako hakuwa mjanja alitakiwa kwanza kuipeleleza familia ya mke mtarajiwa akione vipi anakodisha gari la mshikaji na kuingia nalo ukweni bila chenga.
Mmh hapana Ngongo kuna familia moja shughuli ya utambulisho iligeuka shubiri
Jamaa enzi zile za mabaloon GX90 akaazima kwa shida Sana gari ya jamaa yake..kufika penye shughuli wakapokelewa vizuri sana na mambo yakaendelea vema
Ilikuwa ni dakika chache kabla ya msosi dogo mmoja mtundu sana akaja akampokonya jamaa funguo! Ukweni huwezi kumnyima
Dogo kakimbilia nje akataka kuonyesha ufundi akaiwasha gari na ufupi wake gear ya kwanza ilikuwa rivasi akakanyaga mafuta yote gari ikapaa mpaka kuvuka mtaa na kuishia kwenye geti la jirani
Mungu wa ajabu dogo bado alikuwa yuko fit akakumbuka ile ni rivasi akaweka D akakipa kitu na box gari ikaja kutua kwenye mtaro wa barabara haifai si mbele wala nyuma
-sherehe ikafa dogo akawahishwa hospitali, jamaa akabaki kama zezeta anaongea mwenyewe
 
Kwani lazima kuoa hiyo nyumba ?siwakae na binti ao?unainuka taratibu unawaambia haya oeni wenyewe naona mnamfaa zaidi alafu huachi kupiga hizo stori kila mahali taratibu tu watajifunza
 
Mmh hapana Ngongo kuna familia moja shughuli ya utambulisho iligeuka shubiri
Jamaa enzi zile za mabaloon GX90 akaazima kwa shida Sana gari ya jamaa yake..kufika penye shughuli wakapokelewa vizuri sana na mambo yakaendelea vema
Ilikuwa ni dakika chache kabla ya msosi dogo mmoja mtundu sana akaja akampokonya jamaa funguo! Ukweni huwezi kumnyima
Dogo kakimbilia nje akataka kuonyesha ufundi akaiwasha gari na ufupi wake gear ya kwanza ilikuwa rivasi akakanyaga mafuta yote gari ikapaa mpaka kuvuka mtaa na kuishia kwenye geti la jirani
Mungu wa ajabu dogo bado alikuwa yuko fit akakumbuka ile ni rivasi akaweka D akakipa kitu na box gari ikaja kutua kwenye mtaro wa barabara haifai si mbele wala nyuma
-sherehe ikafa dogo akawahishwa hospitali, jamaa akabaki kama zezeta anaongea mwenyewe

Hii kama ni chai, inewekwa mdalasini
 
Hahahahahahahaha.....mkuu mshana lazima niwaambie wakatengeneze aiseeee
 
Duuu we jamaa, hyo ilikuwa ni mipango ya Mungu asee khaa!
 
Back
Top Bottom