Nimejiajiri natafuta Msichana mwenzangu tusaidiane

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
Wakuu nadhani mu wazima,

Mimi ni binti nilimaliza chuo ila sikupata kazi, sasa kutokana maisha kuwa magumu nimeamua kujiajiri.

Sasa naona nimepanuka nahitaji msichana mwenzangu tusaidiane hii kazi. Nataka msichana kama Mimi maana Wavulana/Wanaume tunaweza shindwana kufanya kazi.

Location: Arusha

Mshahara: Maelewano ila utapewa chumba+meals.

Kama kuna mdada yupo serious aje inbox, tuongee vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia PM yako mkuu

"All the gods, all the heavens, all the hells are within you"
 
Mimi hpa mumy kazi IPI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Sasa naona nimepanuka" anhaa watakuja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…