Nimejiajiri natafuta Msichana mwenzangu tusaidiane

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,992
Wakuu nadhani mu wazima,

Mimi ni binti nilimaliza chuo ila sikupata kazi, sasa kutokana maisha kuwa magumu nimeamua kujiajiri.

Sasa naona nimepanuka nahitaji msichana mwenzangu tusaidiane hii kazi. Nataka msichana kama Mimi maana Wavulana/Wanaume tunaweza shindwana kufanya kazi.

Location: Arusha

Mshahara: Maelewano ila utapewa chumba+meals.

Kama kuna mdada yupo serious aje inbox, tuongee vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia PM yako mkuu

"All the gods, all the heavens, all the hells are within you"
 
Wakuu nadhani wazima,

Me ni binti nilimaliza chuo ila sikupata kazi, sasa kutokana maisha kuwa magumu nimeamua kujiajiri.

Sasa naona nimepanuka naitaji mschana mwenzangu tusaidiane hii kazi. Nataka mschana Kama Mimi maana wavulana/wanaume tunaweza shindwana kufanya kazi.

Location :Arusha

Mshahara :maelewano ila utapewa chumba+meals.

Kama kuna mdada yupo serious aje inbox, tuongee vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi hpa mumy kazi IPI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
"Sasa naona nimepanuka" anhaa watakuja tu
Wakuu nadhani mu wazima,

Mimi ni binti nilimaliza chuo ila sikupata kazi, sasa kutokana maisha kuwa magumu nimeamua kujiajiri.

Sasa naona nimepanuka nahitaji msichana mwenzangu tusaidiane hii kazi. Nataka msichana kama Mimi maana Wavulana/Wanaume tunaweza shindwana kufanya kazi.

Location: Arusha

Mshahara: Maelewano ila utapewa chumba+meals.

Kama kuna mdada yupo serious aje inbox, tuongee vizuri.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom