Vijana tutapataje wake wema? Hata kama siyo bikira tunaweza jivunia kuwa nao?

Itovanilo

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
2,314
5,138
Habari jamii forum,hope mu wazima mpaka mme log in humu basi mambo ni yente.

Bila kupepesa macho kisa kipo hivi, Mwanzoni mwa mwezi wa kumi na moja mwaka huu 2023 nilikuwa natoka job,nikiwa natembea fasta kuja zinapopark Bajaj ili nidandie na kuelekea maskani.

Basi kutokana na mvua za hapa na pale kwenye jiji la Chalamila,nikajikuta najibanza kwenye kibanda fulani kikuukuu ambacho kilikuwa hakitumiki lakini mwanzo inaonesha kulikuwa na maman'tilie maana mazingira yalisadifu vile.

Basi nikiwa alone nangoja mvua zipungue ili niwahi kwenye kituo cha bajaji,alikuja mdada naye akiwa anajificha mvua basi tukawa wawili kwenye kile kibanda.

Naam mdada alikuwa mzuri,mashallah! kuna alarm ya nyege na tamaa ya ngono ilipita kama radi kuanzia tumboni hadi kwa Said kichwa,ila nikajikaza kiume.

Mdada alinisalimia kwa uchangamfu kama vile ananifahamu nami nikamjibu kwa kujichangamsha ili nisiwe mnyonge.

Mmmmmh hizi mvua za sasa hata haziishi zimeharibu miundombinu zinaleta kero mno Dah yaani nachelewa na nyumbani nina kazi za kufanya acha tu. aliumu yule mdada mrembo.

Hapana sister mvua ni neema pia, tunapaswa kumshukuru Mungu kwa yote. niliongea kwa kujikaza mbele ya demu aliyeonekana kanizidi vingi, kuanzia ongea yake, kiswanglish chake na hata kimuonekano bado alinikuwa hawezi kutengeneza couple na mimi.

Basi mvua iliongezeka huku demu akiangalia saa kupitia iphone 14 yake na kuongea peke yake akidai anachelewa, ambapo moyo ulidunda na kuulaumu umasikini, sikuwa hata na nguvu ya kuchezea Tecno yangu niliona kama nitajidhalilisha. Kulikuwa na kijibenji fulani pale nikakivuta na kukifuta na kumwambia yule dada akae.

Mrembo yule kwa aibu huku akitabasamu,alijibu ahsante huku akiketi huku meno yake mazuri yakiutikisa moyo wangu, Dah kweli wakubwa wanafaidi.

Nikaamua kujilipua liwalo na liwe akimaindi nitatoka hata kama kulowa na mvua nilowe tu, ila lazima nijaribu bahati yangu.

Samahani naitwa Itovanilo, mwenzangu unaitwa nani,. niliuliza huku mapigo ya moyo yakienda mbio hata sikujua naogopa nini.

(akaguna)kwani unataka nini kaka yangu hapa si tumejificha mvua , kuulizana majina tena? ya kazi gani?anyway naitwa Sofia. alijibu kwa sauti ya chini ila hakuonesha kuchukia.

Dah nice name, mara nyingi watu wenye jina kama lako ni wapole na wakarimu sana. niliendelea kuweka uchokozi wakati huo yeye kakaa Mimi nimesimama mdada anachati kama mashine kwenye iphone yake huku simu yake nyingine Sony Experia ikiwa inaita kila muda ila anakata, sikujua ni kwanini.

Wewee tangu lini jina la mtu linashabihiana na tabia yake , hayo ni mawazo yako tu. alijibu kwa kuoppose.

hamna dada kwa mfano mwanamke aliitwa mwajuma huwa ni wakotofi sana halafu hawajatulia kabisa.
niliongea kwa kujiamini.

(Kwanza alicheka sana)Kisha akanikazia macho huku uso wake laini na macho ya upole akinitazama
Kisha akauliza swali.

Kwani wewe unafanya kazi gani, mbona umeongea jambo linafanana na ukweli kabisa unajua nini,hapa nachati na rafiki yangu anaitwa mwajuma nataka anifuate sasa anavyojishauwa na kunata naungana na wewe kwamba huwenda jina likaendana na tabia ya mtu.aliongea kwa hisia Sofia huku akinikazia macho.

Aaaah ndivyo ilivyo na hii si dhana kama watu wanavyoona bali ukweli ni kwamba jina ukipewa tangu utotoni basi linakaa kwenye njia.nilizidi kujizolea point mbele ya yule mdada mrefu,tumbo flat, zigozigo yaani English figure. Mweupe pee anang'aa akiwa na visendo vya kupachika, nikijizuia bastola isijikoki bila ruhusa.

Baada ya muda alipokea simu fulani akawa anaongea huku akiwa anaelekeza alipo ila hawakuelewana , akaniuliza kama nayajua yale mazingira. Nikamjibu napajua ndipo akanipa ile simu niongee na mtu wake nimuelekeze .

Niliongea na mwanamke ambaye alikuwa anaongea kama cherehani Kisha nikampa location tukaelewana na akadai hata kibanda tulipo anakijua nikaona ni nafuu.

Kwanini mtu akifuate si angekaa tu nyumbani na mvua hii, na pia gharama za usafiri kwani Kuna ulazima akufuate. niliwaza kimasikini yaani hali yangu nilidhani Kila mtu yupo hivyo.

Hapana ni lazima aje kwasababu alichukua gari yangu mchana, na yeye ndiye kanitembeza kwa miguu huenda hata mvua isingenikuta. alijibu kistaarabu.

(Kumbe ana gari huyu mwanamke, mmmmh hii namba siyo, aaah huyu siyo type yangu, mmmmh huyu simuwezi kabisa)nilijikuta nawaza nakukata tamaa huku ukimya ukitawala huku yule demu akiwa mtandaoni akiperuzi huku akicheka. Sikuwa na neno tena kama anamiliki gari tena,mimi si kama kunguni tu kwake nitampa nini,mwisho wangu kuhonga ni elfu kumi.

Aiseee hebu tuendelee na stori , umesema akina mwajuma ni wakorofi,na akifika namwambia kama umesema ni mkorofi ,aliongea huku nikiwa nimepooza sana wakati huo ila nilijikaza.

Hapana usimwambie bwana mimi nilisema tu asije akanimaindi.niliongea kiunyonge yaani gia zikawa haziingii kama mwanzo.

Mara kuna BMW ikawa inakuja taratibu mahali tulipo huku dada akiweka simu zake kwenye mkoba huku akiweka sura ya kukasirika.

Sasa chizi huyooo anakuja, mwenzangu unaelekea wapi, aliuliza huku nikitaja uelekeo .

Basi twende nikakuache makutano mimi mwenyewe naelekea huko huko
Basi mvua ikiwa inanyesha bado tukaingia kwenye gari na kuanza safari

Twende sehemu ya pili.....
 
Habari jamii forum,hope mu wazima mpaka mme log in humu basi mambo ni yente.

Bila kupepesa macho kisa kipo hivi,
Mwanzoni mwa mwezi wa kumi na moja mwaka 2017 nilikuwa natoka job,nikiwa natembea fasta kuja zinapopark Bajaj ili nidandie na kuelekea maskani.

Basi kutokana na mvua za hapa na pale kwenye jiji la Chalamila,nikajikuta najibanza kwenye kibanda fulani kikuukuu ambacho kilikuwa hakitumiki lakini mwanzo inaonesha kulikuwa na maman'tilie maana mazingira yalisadifu vile.

Basi nikiwa alone nangoja mvua zipungue ili niwahi kwenye kituo cha bajaji,alikuja mdada naye akiwa anajificha mvua basi tukawa wawili kwenye kile kibanda.

Naam mdada alikuwa mzuri,mashallah! kuna alarm ya nyege na tamaa ya ngono ilipita kama radi kuanzia tumboni hadi kwa Said kichwa,ila nikajikaza kiume.

Mdada alinisalimia kwa uchangamfu kama vile ananifahamu nami nikamjibu kwa kujichangamsha ili nisiwe mnyonge.

Mmmmmh hizi mvua za sasa hata haziishi zimeharibu miundombinu zinaleta kero mno Dah yaani nachelewa na nyumbani nina kazi za kufanya acha tu. aliumu yule mdada mrembo.

Hapana sister mvua ni neema pia, tunapaswa kumshukuru Mungu kwa yote. niliongea kwa kujikaza mbele ya demu aliyeonekana kanizidi vingi, kuanzia ongea yake, kiswanglish chake na hata kimuonekano bado alinikuwa hawezi kutengeneza couple na mimi.

Basi mvua iliongezeka huku demu akiangalia saa kupitia iphone 14 yake na kuongea peke yake akidai anachelewa, ambapo moyo ulidunda na kuulaumu umasikini, sikuwa hata na nguvu ya kuchezea Tecno yangu niliona kama nitajidhalilisha.
Kulikuwa na kijibenji fulani pale nikakivuta na kukifuta na kumwambia yule dada akae.

Mrembo yule kwa aibu huku akitabasamu,alijibu ahsante huku akiketi huku meno yake mazuri yakiutikisa moyo wangu, Dah kweli wakubwa wanafaidi.

Nikaamua kujilipua liwalo na liwe akimaindi nitatoka hata kama kulowa na mvua nilowe tu, ila lazima nijaribu bahati yangu.

Samahani naitwa Itovanilo, mwenzangu unaitwa nani,. niliuliza huku mapigo ya moyo yakienda mbio hata sikujua naogopa nini.

(akaguna)kwani unataka nini kaka yangu hapa si tumejificha mvua , kuulizana majina tena? ya kazi gani?anyway naitwa Sofia. alijibu kwa sauti ya chini ila hakuonesha kuchukia.

Dah nice name, mara nyingi watu wenye jina kama lako ni wapole na wakarimu sana. niliendelea kuweka uchokozi wakati huo yeye kakaa Mimi nimesimama mdada anachati kama mashine kwenye iphone yake huku simu yake nyingine Sony Experia ikiwa inaita kila muda ila anakata, sikujua ni kwanini.

Wewee tangu lini jina la mtu linashabihiana na tabia yake , hayo ni mawazo yako tu. alijibu kwa kuoppose.

hamna dada kwa mfano mwanamke aliitwa mwajuma huwa ni wakotofi sana halafu hawajatulia kabisa.
niliongea kwa kujiamini.

(Kwanza alicheka sana)Kisha akanikazia macho huku uso wake laini na macho ya upole akinitazama
Kisha akauliza swali.

Kwani wewe unafanya kazi gani, mbona umeongea jambo linafanana na ukweli kabisa unajua nini,hapa nachati na rafiki yangu anaitwa mwajuma nataka anifuate sasa anavyojishauwa na kunata naungana na wewe kwamba huwenda jina likaendana na tabia ya mtu.aliongea kwa hisia Sofia huku akinikazia macho.

Aaaah ndivyo ilivyo na hii si dhana kama watu wanavyoona bali ukweli ni kwamba jina ukipewa tangu utotoni basi linakaa kwenye njia.nilizidi kujizolea point mbele ya yule mdada mrefu,tumbo flat, zigozigo yaani English figure. Mweupe pee anang'aa akiwa na visendo vya kupachika, nikijizuia bastola isijikoki bila ruhusa.

Baada ya muda alipokea simu fulani akawa anaongea huku akiwa anaelekeza alipo ila hawakuelewana , akaniuliza kama nayajua yale mazingira.
Nikamjibu napajua ndipo akanipa ile simu niongee na mtu wake nimuelekeze .

Je, wewe mwenyewe binafsi ni mume mwema??
Tuanzie hapa kwanza.
 
Habari jamii forum,hope mu wazima mpaka mme log in humu basi mambo ni yente.

Bila kupepesa macho kisa kipo hivi,
Mwanzoni mwa mwezi wa kumi na moja mwaka huu 2023 nilikuwa natoka job,nikiwa natembea fasta kuja zinapopark Bajaj ili nidandie na kuelekea maskani.

Wewe ni ze komedy..... yaani nimecheka nilidhani uko seriuos hahaha. Kumbe ukitaka kutufurahisha.

Hongera zacomedy
 
Hivi wewe mwajuma upoje,
Uliaga unaenda Kariakoo ikawaje uende kigamboni?
Hujui hivi ni vyombo au unataka watu tuonekane waongeaji,alilalamika Sofia

Haaaaa Da Sofi mambo gani hayo unasema kwani umesahau nilikwambiaje,si nilisema yule nisipomkuta dukani kwake basi nitavuka maji hadi nyumbani kwake,au si kukwambia.aliongea kwa ukali mwajuma.

Dah,eti kaka ulisema wenye majina haya ni wakorofi si ndiyo?kweli naamini yaani nazidi kupata majibu.aliongea Sofia huku akitafuta sapoti kwangu lakini mimi nikaona haiwezekani kwanza sikutaka aseme vile mbele ya mwenye jina nikapiga kimya.

Ahaaaaaaaaa kumbe mlikuwa mnanisemaaaa,halafu Da Sofi unapenda sana kunisema yaani niwepo,nisiwepo,kazi tu kunisimanga,sasa nikwambie ukweli kama ni hii gari lako mimi mwenyewe 2024 haiishi nitakuwa na usafiri wangu na hili gari mwisho leo kuendesha.alilaumu Mwajuma.

Mmmh dizaini nikawa naona aibu nikaona sasa kwanini huyu Sofia kasema haya mambo mimi niliongea kama utani yeye kayabeba na kayatumia mbele yangu tena.ila nikavunga huku nikitafuta nafasi ya kumuomba namba.

Kweli baada ya kuona nakaribia kushuka,nikamuomba namba yule Sofia.

Mmmh kaka sasa namba ya nini tena.aliuliza kwa sauti ya chini Sofi lakini mwajuma alisikia.

Heheheheeeee kumbe kunisema kote na kunisimanga hata namba hajapeana,mkawa bize mkinisema mimi,loh ama kweli.Mwajei aliendelea kucheka kwa dharau.

Yule Sofia pengine angeninyima namba lakini akaamua kunipa kwasababu ya kunistahi maana nilishaaibika fulani hivi,nikasevu namba navyojua nikateremka kwenye gari na kutokomea.

Siku kadhaa zilipita sikumtafuta na nilishamsahau kabisa yule Sofia, basi bwana siku moja nilikuwa nimebahatika kupata jiwe fulani baada ya kubashiri vyema mechi za UEFA mkeka wangu wa buku jero nikapata milioni na laki nane na usheee yaani milion mbili kasoro

Nikaona huu ni muda wa kununua vitu ambavyo sina na kuviweka Geto,nikachukua godoro la laki mbili pamoja na Sabufa yenye blue tooth,feni ,simu nyingine ili niwe kisasa zaidi.nikanunua nguo kadhaa na viatu.

Baada ya hapo nikapanga kuingia viwanja ili nikarefresh mind maana siku nyingi sijatokea maeneo ya hivyo kutokana na uhaba wa pesa.
Lakini hapohapo nikapata wazo kuliko kwenda kutumia pesa na malaya wa kule bora nitoke na demu ili kuleta heshima kidogo.

Basi bwana katika kupekuapekua kwenye simu nikaona hakuna demu naweza kwenda naye viwanja ,demu gani huwezi kuwatambulisha hata washikaji nikaamua kuwapotezea.

Hapohapo nikakumbuka siku si nyingi kuna demu nilimsevu Cute.S
Nikaona ngoja nimpigie,lakini bado niliingiwa na uoga kwasababu demu nilijua fika pesa anazo.lakini pia sina uhakika kama ni mtu wa viwanja ila nilijaribu hivyo hivyo.

Hello, naongea na nani.
aliuliza baada ya kupokea simu.

Naitwa Itovanilo,
Ni kama wiki mbili zilizopita tulijificha mvua kwenye kibanda fulani.

Waoooh,habari za siku kaka,halafu mbona hukupiga ili nipate namba yako.aliongea kwa bashasha.

Ndo nimekupigia hivyo, Sasa naomba kujua unaweza pata muda tukutane maeneo fulani tupate moja mbili tatu. niliuliza kwa kujiamini.

Mmmh nilikuwa nakunywa zamani ila kwa Sasa nimepumzika. alijibu

Kwanini umepumzika Kuna tatizo gani? niliuliza kwa kujiamini, wallet si imenona!

Sina sababu maalumu, ni vitu ambayo havina faida ukitumia,lakini havina madhara ukiviacha.alijibu.

Sawa,basi njoo hata ule nyama tu maana nimekumiss sana.Niliendelea kumlazimisha.

Dah,ila wewe basi sawa mimi niko nyumbani kwangu huku Tegeta wewe uko wapi? aliuliza.

Mimi naishi Tabata kisiwani.nilimjibu

Ok sawa lakini unakumbuka siku ile tulikushusha makutano,nadhani ni Mabibo halafu mbele kabisa kule.aliuliza .

Yeah ,kule ni kwa wazazi wangu na kisiwani ni Geto kwangu.nilimjibu.

Sawa kwahiyo shida yako kubwa ni nini kwasababu mimi nina kazi weekend hii na sikupanga kutoka isitoshe sina pesa kabisa za kwenda sehemu hapa nina pesa ya mafuta ya gari tu,na sitaki niweke maana sina safari ya lazima kwanza nisikufiche huko siji.aliongea kichovu.

Weeee njoo au nitume pesa ya mafuta kabisa.niliongea kwa kujiamini.

Mmmh hebu tuma kama kweli upo serious, safari aliongea kwa uchangamfu kidogo.

Nikaenda kwa wakala nikatuma laki.
Kisha nikakaa kimya huku moyo ukianza kudunda
Ina maana asipokuja nimeshaliwa,ila baridi tu, nilistake buku jero nimepata pesa yote hiyo kwa matren yangu ya Sportybet yanapumua huenda nikabutua tena safari hii nitaenda Mkuranga kuulizia kiwanja maana kuna mkeka bado timu saba tu.nilijisemea kimoyomoyo.

Mara saa nane,tisa mpaka kumi hakuna simu iliyoingia kutoka kwa Sofia , nikaona nishapigwa Nini ama.

Lakini wakati nikiwaza hayo simu iliita mpigaji ni yeye,

Najiandaa kutoka nije wapi sasa, aliuliza.

Nikuelekeza Bar & lounge yenye hadhi yake, mahali hapo local beer zinaanzia buku tatu hizi ndogo kwa chupa moja.

Kweli bwana ilikuwa kama ndoto, gari ileile ikawa inahangaika pa kupaki bahati nzuri akaelekezwa na wenyeji Kisha tukatafuta sehemu tukakaa tukasililizwa.

Nilichogundua Kila mtu alikuwa ananishangaa kuwa na pisi ile sikuendana nayo, lakini Sofia alikuwa free akawa anadai alikuwa anaandika vitu kwa computer hivyo kachoka na kuchoka tena. Nikaagiza bia huku nikiwa si mnywaji ili mradi mbwembwe tu, yeye aliagiza maji Kisha chakula kikafika, alikula weeee huku akiwa anashukuru mara mbili mbili mara nyingine alijisahau, eti hakuwa kufikiria kama ningemfanyia surprise ile , kumuwekea mafuta, kisha kumtoa out.

Duh kweli usimdharau usiyemjua ni maneno ya Sofia akiwa anabofyabofya simu yake ya gharama.baada ya hapo nilimbembeleza anywe pombe achague yeyote isiyolewesha sana.
Ila akadai ananihurumia akawa anakunywa local beer kama Mimi,

Mpaka kufika saa tatu za usiku alikuwa Tungi, hata kutembea hawezi, chooni Kila saa na mpaka apelekwe kwa msaada wa wale ma barmaid, akatoka mpaka kwenye gari na mimi pombe zilishukia chini. Nikashauri tutafute logde ya karibu tupumzike, usiku ule, na kalewa vile, halafu kwao tegeta ilikuwa ni kutafuta ajali zingine, hakupinga, haoo hadi lodge nikalipa tuoneshwa chumba , akaingia bafuni akaoga , akarudi na Mimi nikaingia nikaoga niliporudi nikakuta pombe zimemuisha angalau yupo sawa,
Tukavunja Amri ya sita, kwa mzunguko wa kwanza. Kisha nikatulia.

Second round nilishangaa akivuta mkoba wake nakutoa mafuta akajipakaza vizuri, Kisha akanipaka na Mimi , huku nikishangaa anataka kufanyaje ndipo alipodai geti kubwa la mbele hataki anataka niingie geti dogo hapo na yeye ataridhika.
Weeee niliwaza mbali.

Nitaoa kweli?
Nitamuoa nani Sasa?
Ni nani mke mwema?

Wewe Itovanilo unawaza Nini acha ushamba hebu njoo , nitakuzingua ujue wewe . Alinilazimisha kabla sijamsukuma na kuwahi kadet yangu yenye simu na wallet na kutokomea.
Siwezi kuwa shoga Mimi.

Ukiwaza kutumia sehemu zile basi na wewe ipo siku utatumiwa, haaaa weeee.

Kataa ndoa homeboy.

Nimeicopy mahali.

Mwisho.
 
Habari jamii forum,hope mu wazima mpaka mme log in humu basi mambo ni yente.

Bila kupepesa macho kisa kipo hivi,
Mwanzoni mwa mwezi wa kumi na moja mwaka huu 2023 nilikuwa natoka job,nikiwa natembea fasta kuja zinapopark Bajaj ili nidandie na kuelekea maskani.

Basi kutokana na mvua za hapa na pale kwenye jiji la Chalamila,nikajikuta najibanza kwenye kibanda fulani kikuukuu ambacho kilikuwa hakitumiki lakini mwanzo inaonesha kulikuwa na maman'tilie maana mazingira yalisadifu vile.

Basi nikiwa alone nangoja mvua zipungue ili niwahi kwenye kituo cha bajaji,alikuja mdada naye akiwa anajificha mvua basi tukawa wawili kwenye kile kibanda.

Naam mdada alikuwa mzuri,mashallah! kuna alarm ya nyege na tamaa ya ngono ilipita kama radi kuanzia tumboni hadi kwa Said kichwa,ila nikajikaza kiume.

Mdada alinisalimia kwa uchangamfu kama vile ananifahamu nami nikamjibu kwa kujichangamsha ili nisiwe mnyonge.

Mmmmmh hizi mvua za sasa hata haziishi zimeharibu miundombinu zinaleta kero mno Dah yaani nachelewa na nyumbani nina kazi za kufanya acha tu. aliumu yule mdada mrembo.

Hapana sister mvua ni neema pia, tunapaswa kumshukuru Mungu kwa yote. niliongea kwa kujikaza mbele ya demu aliyeonekana kanizidi vingi, kuanzia ongea yake, kiswanglish chake na hata kimuonekano bado alinikuwa hawezi kutengeneza couple na mimi.

Basi mvua iliongezeka huku demu akiangalia saa kupitia iphone 14 yake na kuongea peke yake akidai anachelewa, ambapo moyo ulidunda na kuulaumu umasikini, sikuwa hata na nguvu ya kuchezea Tecno yangu niliona kama nitajidhalilisha.
Kulikuwa na kijibenji fulani pale nikakivuta na kukifuta na kumwambia yule dada akae.

Mrembo yule kwa aibu huku akitabasamu,alijibu ahsante huku akiketi huku meno yake mazuri yakiutikisa moyo wangu, Dah kweli wakubwa wanafaidi.

Nikaamua kujilipua liwalo na liwe akimaindi nitatoka hata kama kulowa na mvua nilowe tu, ila lazima nijaribu bahati yangu.

Samahani naitwa Itovanilo, mwenzangu unaitwa nani,. niliuliza huku mapigo ya moyo yakienda mbio hata sikujua naogopa nini.

(akaguna)kwani unataka nini kaka yangu hapa si tumejificha mvua , kuulizana majina tena? ya kazi gani?anyway naitwa Sofia. alijibu kwa sauti ya chini ila hakuonesha kuchukia.

Dah nice name, mara nyingi watu wenye jina kama lako ni wapole na wakarimu sana. niliendelea kuweka uchokozi wakati huo yeye kakaa Mimi nimesimama mdada anachati kama mashine kwenye iphone yake huku simu yake nyingine Sony Experia ikiwa inaita kila muda ila anakata, sikujua ni kwanini.

Wewee tangu lini jina la mtu linashabihiana na tabia yake , hayo ni mawazo yako tu. alijibu kwa kuoppose.

hamna dada kwa mfano mwanamke aliitwa mwajuma huwa ni wakotofi sana halafu hawajatulia kabisa.
niliongea kwa kujiamini.

(Kwanza alicheka sana)Kisha akanikazia macho huku uso wake laini na macho ya upole akinitazama
Kisha akauliza swali.

Kwani wewe unafanya kazi gani, mbona umeongea jambo linafanana na ukweli kabisa unajua nini,hapa nachati na rafiki yangu anaitwa mwajuma nataka anifuate sasa anavyojishauwa na kunata naungana na wewe kwamba huwenda jina likaendana na tabia ya mtu.aliongea kwa hisia Sofia huku akinikazia macho.

Aaaah ndivyo ilivyo na hii si dhana kama watu wanavyoona bali ukweli ni kwamba jina ukipewa tangu utotoni basi linakaa kwenye njia.nilizidi kujizolea point mbele ya yule mdada mrefu,tumbo flat, zigozigo yaani English figure. Mweupe pee anang'aa akiwa na visendo vya kupachika, nikijizuia bastola isijikoki bila ruhusa.

Baada ya muda alipokea simu fulani akawa anaongea huku akiwa anaelekeza alipo ila hawakuelewana , akaniuliza kama nayajua yale mazingira.
Nikamjibu napajua ndipo akanipa ile simu niongee na mtu wake nimuelekeze .

Niliongea na mwanamke ambaye alikuwa anaongea kama cherehani Kisha nikampa location tukaelewana na akadai hata kibanda tulipo anakijua nikaona ni nafuu.

Kwanini mtu akifuate si angekaa tu nyumbani na mvua hii, na pia gharama za usafiri kwani Kuna ulazima akufuate. niliwaza kimasikini yaani hali yangu nilidhani Kila mtu yupo hivyo.

Hapana ni lazima aje kwasababu alichukua gari yangu mchana, na yeye ndiye kanitembeza kwa miguu huenda hata mvua isingenikuta. alijibu kistaarabu.

(Kumbe ana gari huyu mwanamke, mmmmh hii namba siyo, aaah huyu siyo type yangu, mmmmh huyu simuwezi kabisa)nilijikuta nawaza nakukata tamaa huku ukimya ukitawala huku yule demu akiwa mtandaoni akiperuzi huku akicheka. Sikuwa na neno tena kama anamiliki gari tena,mimi si kama kunguni tu kwake nitampa nini,mwisho wangu kuhonga ni elfu kumi.

Aiseee hebu tuendelee na stori , umesema akina mwajuma ni wakorofi,na akifika namwambia kama umesema ni mkorofi ,aliongea huku nikiwa nimepooza sana wakati huo ila nilijikaza.

Hapana usimwambie bwana mimi nilisema tu asije akanimaindi.niliongea kiunyonge yaani gia zikawa haziingii kama mwanzo.

Mara kuna BMW ikawa inakuja taratibu mahali tulipo huku dada akiweka simu zake kwenye mkoba huku akiweka sura ya kukasirika.

Sasa chizi huyooo anakuja, mwenzangu unaelekea wapi, aliuliza huku nikitaja uelekeo .

Basi twende nikakuache makutano mimi mwenyewe naelekea huko huko
Basi mvua ikiwa inanyesha bado tukaingia kwenye gari na kuanza safari

Twende sehemu ya pili.....
Unapokutana na mwanamke ukamwelewa unachotakiwa kufanya ni kujilipua , kujiamini na kutojiuliza mara mbili mbili. Pia uwe teyari kukubaliana na reaction yake iwe hasi au chanya.
 
Hata mi sijui tutapataje wake wema, kuna demu mbele za watu ananiita  mpenzi hadi masela wote wamejua ni demu wangu kumbe hata namba za simu tulikua hatujabadilishana

Sasa nimemuomba namba kama wiki mbili zilizopita nikimtumia meseji ananichangamkia sana, ila tatizo ni moja kila siku hadi nianze mimi, sahivi nimechoka juzi ndo ilikua mara ya mwisho sitamtafuta tena na yeye akinikaushia haina kwere barida tu ntafuta namba yake ikitimia siku 90 kama hatanitafuta.
 
Acha ujinga
Huyo anataka kuitoa anytime sasa hapo anagoma kukutafuta ili akiitoa mapema asionekane mrahisi wewe ndo uonekane umehangaika
Akili mtu wangu
 
Hata mi sijui tutapataje wake wema, kuna demu mbele za watu ananiita  mpenzi hadi masela wote wamejua ni demu wangu kumbe hata namba za simu tulikua hatujabadilishana

Sasa nimemuomba namba kama wiki mbili zilizopita nikimtumia meseji ananichangamkia sana, ila tatizo ni moja kila siku hadi nianze mimi, sahivi nimechoka juzi ndo ilikua mara ya mwisho sitamtafuta tena na yeye akinikaushia haina kwere barida tu ntafuta namba yake ikitimia siku 90 kama hatanitafuta.
Kwahyo unataka akuvulie nguo mbele za watu kama anavyokuitaga mpenzi mbele za watu..? Una umri gani mkuu ? Mbona jambo rahisi mi nikajua hadi namba ulinyimwa kumbe unayo....maliza game uje JF utupe fd back
 
Haha huwezi kuamini baada ya kumaliza kuandika comment ya malalamiko hatimae na yeye leo kanianza mwenyewe meseji imeingia.

Tatizo mkuu ilikua hadi nianze mimi kutuma meseji muda mwingine unaona labda sina umuhim nikamkaushia ila kwakua leo kafanya comeback siyo mbaya angalau imenipa matumaini
 
Back
Top Bottom