Hii hapa ina
1.master bedroom
2.jiko
3.sitting room
4.mfumo kamili wa maji
5.mfumo wa umeme
6.plaster nje na ndani
7.gypsum
8.rough floor ya zege
ImeCost 7.5M
NB:.tiles na rangi vyote vimenunuliwa na fedha hyohyo, najikongoja nimlipe fundi afanye finishing. View attachment 1427385View attachment 1427386View attachment 1427387View attachment 1427388
Supu ya mawe
nmekaa kitambo sijasoma uzi wangu huu. nilikua naogopa mno. mwanzon nimepata disappointments saana na comments za watu. zikawa zinanifanya najisikia vibaya. so nikakata shauri sitatembelea tena kusoma lolote katika uzi huu. sababu me ni aina ya wale watu hatuwezi vumilia kasha kasha za kusemwa na watu. unakutana na comment mtu anasema MKUU SASA HAPO UTASEMA UNAISHI KTK NYUMBA AU KTK PAGALE. daaah noma saana maraia.Write your reply...kuna sehemu hukusimamia vizuri, vipi gharama za maji na umwagiliaji? Vipi utaalamu wote kuanzia msingi hadi kitasa findi ni mmoja?
Pole sana mkuu, ila ndiyo uhalisia duniani wapo watu NEGATIVE na watu POSITIVE na wengine NEUTRAL..it's what makes life interesting & not so boring!nmekaa kitambo sijasoma uzi wangu huu. nilikua naogopa mno. mwanzon nimepata disappointments saana na comments za watu. zikawa zinanifanya najisikia vibaya. so nikakata shauri sitatembelea tena kusoma lolote katika uzi huu. sababu me ni aina ya wale watu hatuwezi vumilia kasha kasha za kusemwa na watu. unakutana na comment mtu anasema MKUU SASA HAPO UTASEMA UNAISHI KTK NYUMBA AU KTK PAGALE. daaah noma saana maraia.
kuhusu maji ya kujengea na kumwagilia ktk bajeti nilitenga 400k tsh. lkn kwa bahati nzuri mzee wa nyumba ya jirani ana kisima so akanambia nitumie tuu. so nikapata maji bure. mafundi walikua wanaenda kuchota sio mbali.
kuhusu fundi ni huyo huyo mmoja. kutoka kuchimba msingi, kuezeka. kujenga choo. kuweka ma grill ambayo nilinunua. vitasa sijaweka bado mkuu soma maelezo fresh. nmeweka geti tuu then nmeli cover na nyavu kuzuia mbu. u know.
Hii mwonekano wa juu unakuaje ?Ndo najiaanda kisaikologia ili niingie site rasmiView attachment 1454467
Sent using Jamii Forums mobile app
Ongera sana kaka. Umenikumbusha miaka 2 nyuma nilipata project ambayo iliniingizia hela nyingi kwa wakati mmoja na ilikua ni mara yangu ya kwanza kumiliki hela nyingi kama hiyo. Niliwaza sana nifanye biashara gani lakini nikkosa kwa sababu sikujiandaa. Niliamu kuanza ujenzi wa nyumba kama yako ingawa nimekuzidi kidogo maana ina master, choo cha ndani na jiko na nashukuru Mungu baada ya kumaliza finishing yote project ilisitishwa baada ya mabadiliko ya sheria ambayo haikuwa rafiki kwa mteja wangu. Sasa hivi nimefulia mazima lakini nina sehemu nzuri ya kulala na sina kelele na mtu. Kuna watu walinishauri ninunue gari nikagoma na sasa hivi sijutii maamuzi yangu.
Ningeweka picha lakini itanitambulisha kirahisi humu ila mtoa mada ukitaka naweza kukutumia pm ila mpaka namaliza nilitumia around 35M ingawa pia nilipigwa 1.2M na shemeji yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuuWakati mwingine ni vyema kuheshimu nguvu za mtu na kuheshimu kipato cha mtu.
Tunapishana sana kiuchumi.
Wallah mie mwenyewe nimelitamani hilo uliloliita banda stress za kulipa kodi balaa.
Ni bora kukaa kwenye banda kwa amani na familia kuliko kutafuta hela usiku na mchana kumkabidhi mwenye nyumba.
Nipe ramani yake!!Hii hapa ina
1.master bedroom
2.jiko
3.sitting room
4.mfumo kamili wa maji
5.mfumo wa umeme
6.plaster nje na ndani
7.gypsum
8.rough floor ya zege
ImeCost 7.5M
NB:.tiles na rangi vyote vimenunuliwa na fedha hyohyo, najikongoja nimlipe fundi afanye finishing. View attachment 1427385View attachment 1427386View attachment 1427387View attachment 1427388
Supu ya mawe