Wakumwitu
JF-Expert Member
- Jan 22, 2011
- 370
- 82
Dah in maana wakubwa member humu ndani hatuna ushirikiano tena????? toka jana naomba mtu ambaye ameenda kufanya registration anipm namba yake.. at least nimuulize mawili matatu. Issue ni kwamba niko mbali na nahitaji nisafiri. NA maamuzi hayo yatategemea na ushirikiano wa member.. Please naomba aliyeenda aniPM namba yake sasa hivi nina muda wa saa 1 tuu kafanya maamuzi.