Nimeitwa kwenye interview NSSF kwa njia ya sms!!!

Nimeitwa kwenye interview NSSF kwa njia ya sms!!!

Duuh,yaani ulitaka upigiwe simu? kwani msg ina ubaya gani? Qualification yako ni nn?kama ni masters/phd na uanitwa kwenye usaili wa manager/director kweli hawajakutendea haki vingenevyo mi naona poa tu. Afu tufukirie kujiajiri si kuajiriwa.
 
To be honest, sijakuelewa kabisa mkuu.

Mkuu asikutishe huyo, nakushauri chukua na calculator, najua itakua ni logic questions kama kapepar fulani ambacho kitakua na maswari ya kada zote! ni stage ya kua shortlisted!
 
Duuh,yaani ulitaka upigiwe simu? kwani msg ina ubaya gani? Qualification yako ni nn?kama ni masters/phd na uanitwa kwenye usaili wa manager/director kweli hawajakutendea haki vingenevyo mi naona poa tu. Afu tufukirie kujiajiri si kuajiriwa.

mara nyingi mnaopiga kelele za kujiajir ndiyo mnaong'ang'ania ofisi mpaka mnazeeka.
 
yah unatakiwa ujiregiste kwaajili ya kufanya hiyo test ya tarehe 31 j.moc! na cku za registration ndo hizo trh 27 hadi 30
 
nenda na kalamu ni test ya kuandika hiyo

Watu kama nyie ndo mnaonifanyaga nijiSubscribe internet kila week, napitia humu naanza kusoma post zenu ili nicheke tuuu siku nzima. YOU MADE MY DAY.
 
Mi mwenyewe nimetumiwa msg ambayo iko hivi......

refer to your application for employment with NSSF. Register yourself for aptitude test at nssf waterfront house from 27-30th December, 2011, 9.00am to 4.oopm
.

ikabidi niwagongee simu, nikaambiwa inabidi nifanye registration kwanza ndio niruhusiwe kufanya hiyo test. mpo hapo.. nawashauri wote mliopigiwa simu, nanyi pigeni simu kwa uhakika zaidi.
 
Watu wengi wamepata hizo sms nahisi mchezo utakuwa kama ule aw PSPF watu 1500 nafasi 8.
Mkubwa kahudhurie ili uendelee kupat uzouefu wa interview
 
Kwa kifupi ni kuwa mesej imemalizia kwa kutoa maelekezo kuwa wote mliotumiwa ujumbe mwende NSSF water front kwa ajil ya kusain jina na kujirejista kwa ajil ya interview ya tar 31.Zoez hlo ni kat ya tar 27-30 saa 3 asubuh had sa kumi.Na leo watu kibwena wamekwenda pale water front kufanya huo usajil.Nakaribisha swali kwa ambaye hajanisoma
 
Mkuu umesema ukweli yaani mimi nikifikiriaga hapo nashikwa na machungu yaani mnapigishwa foleni kupiga interview kumbe tayari mtu ameshapatikana wa kumuweka, this is bull sh***t

That is very true.I'm absolutely sure recruitment has been completed already and these measures are just "mchanga wa macho" There was an advertisement for Senior Inspection Engineer at EWURA ,when I asked friend of mine who works there, he told me that the position has already been filled and no need to apply.Imagine the deadline for applications is Dec 30,2011.This is pathetic.Recruitment system in Tanzania is a nightmare and that is why we cannot solve many of our problems coz many people are way less qualified to hold the position they have.Nepotism and corruption are drugging this country to the MUDDY hole from which it will never get out of.God save Tanzania and its people.:shock:
 
Watu wengi wamepata hizo sms nahisi mchezo utakuwa kama ule aw PSPF watu 1500 nafasi 8.
Mkubwa kahudhurie ili uendelee kupat uzouefu wa interview

Hujakose sana. Kuna ndugu yangu naye kaitwa. Leo alikwenda kufanya usajili. Kaambiwa nafasi ni saba tu (7)!
 
Na mimi nimetumiwa sms jana kwenye saa 6 kasoro usiku!!
But mimi nimeambiwa nikafanye usajili kwanza pale NSSF WATERFRONT HOUSE kuanzia leo hadi tarehe 30!!
In addition kuna jamaa yangu naye katumiwa message kama ya kwangu!!
 
Wakubwa aliyefanyiwa registration naomba ani PM namba yake nimpigie, nataka kuongea naye mawili matatu. Ninashukuru kwa ushirikiano
 
Back
Top Bottom