srinavas
JF-Expert Member
- Jun 5, 2011
- 4,270
- 4,182
bacherol of IT nataka kujua Take home yao kama wajua nijuze yamebaki masaa 18 tu
Chuo gani.
bacherol of IT nataka kujua Take home yao kama wajua nijuze yamebaki masaa 18 tu
Kuna watu wanaishi kwa 120,000 na maisha yanasonga. Dar akili siyo hela, mikoani nguvu na si akili.
Karibu sana dar ujifunze maisha
mi nakuombea tuu ufanikiwe hata kama mshahara ni mdogo we kubali tuu kuliko kukaa bure nyumbani siku hizi kila mtu ni msomi
Chuo gani.
Chuo kinahusika vp tena hapo?
Yeye kasema ana Bachelor ya IT anataka kujua salary wewe unauliza chuo au siku hizi wanalipa kulingana na chuo ulichosoma?
Laki 1 kwa mwezi ya mafuta ni ya kwenye bajaji au Fu yeng toyo?
duh basi poa mkuu Unataka kunambia IT department wanazidiwa take home na cashier??
i wsh u all the bst..!! nyie IT weng mnanza na 1:8 basic.. mpk makato yt mnaweza kuondoka na 1:4or 3.tofaut na ivo ita depend IT ktk ishu gn..kdg mna salary nzur.. ur welcom
acha kumdanganya mwenzako
nmdaganye ili itokee nn?? npo tegeta branch ukitaka for moo explation labda nku PM namba yng then nkutumie vielelezo
we ni muongo sana..hakuna bank officer anaelipwa kiasi hicho....ukimuona bank officer ana maendeleo labda awe credit officer kwa ajili ya kupewa rushwa...
kama umefanya kazi kwa chini ya miaka mitatu - wakikupa 1.5m take home chukua fasta - vinginevyo nafikiri watakupa 1.2m pia siyo mbaya.Habar wana jf Nimeitwa na hawa jamaa wa crdb kama IT naomba kujua take home salary ya IT Department. Naamini Maisha ni hatua tunapambana bahasha sizichoke Mungu yu nasi
ss unasha nn?? okey.. sema ss ww salary n.kias gn.. nmeanza job 2010 kwa lak 5 na 70 take home... kwa hyo itabak hyo unadhan?? pole kwa mawazo ulyojiwekea. ila habar ndo hyo!!
kafanye interview huo mshahara ulotajiwa si kweli...sijui sh ngap lakn si laki 2 ,...nenda upate, fatilia zaidi ujue ili ujibu hilo swali, au study kwa lever yako ya elimu na uzoefu wanalipwaje na bank zingne? ndo ujievaluate
kazi za benk ni matai tu na makoti ya suti, mshahara hakuna kitu
kwa anaeanza kazi. Take home..tsh.245,000
kama umefanya kazi kwa chini ya miaka mitatu - wakikupa 1.5m take home chukua fasta - vinginevyo nafikiri watakupa 1.2m pia siyo mbaya.
Kama ndiyo kwanza unatoka shule basi utapewa si zaidi ya 800k take home. pia usiiache!!