Nimeitwa kwenye Interview CRDB

Nimeitwa kwenye Interview CRDB

Wakuuu jumatato niko ndani tena ya Interview ya mwisho bado tunapambana kibarua kisiote nyasi mtaji wako ni nguvu zako mwenyewe be blessed kupata ila kukosa nayo heri@kigorione@Maukiddo@Mkwawajr@Yushin
 
Watu wanapenda sifa za kijinga humu acha tu... Yote hii wanataka waonekane bank officer wako juu kumbe hamna loloye njaa tu ndo maana wanaiba...

acha tu,watu wangekuwa wanaeleza ukweli wangesaidia sana watu kufanya maamuzi.
 
Back
Top Bottom