Nimeitwa kwenye Interview CRDB

Nimeitwa kwenye Interview CRDB

i wsh u all the bst..!! nyie IT weng mnanza na 1:8 basic.. mpk makato yt mnaweza kuondoka na 1:4or 3.tofaut na ivo ita depend IT ktk ishu gn..kdg mna salary nzur.. ur welcom

kigoriOne ulichosema ndo ukweli wenyewe tahnkx be Blessed@Kigorione
 
Last edited by a moderator:
mkuu hata kwenye Interview wanauliza wakulipe shilingi ngapi so ni vizuri kupata take home ili nsijekujifunga na maneno yangu okey?

Sawa mkuu hilo swali ni technical sana unawajibu tuu simple according to your salary scale which is relevant to your experience mkuu...
 
wasikukatishe tamaa, wewe komaa kafanye interview na mtangulize Mungu kabla ya yote, watu wa humu ndani wengi wao wapo kwaajiri ya kukatisha tamaa mshahara wa crdb ni mzuri tu, omba Mungu ufanikiwe.
 
wasikukatishe tamaa, wewe komaa kafanye interview na mtangulize Mungu kabla ya yote, watu wa humu ndani wengi wao wapo kwaajiri ya kukatisha tamaa mshahara wa crdb ni mzuri tu, omba Mungu ufanikiwe.

mkuu ndo nimetoka hatua ya kwanza ya Interview nasubir hatua ya pili kama ntapita ya kwanza
 
unaulizia mshahara kabla hujapata kazi....
 
Fanya hiyo enterview acha mbwembwe! Ungekuwa upo curious sana hela usingejaza hiyo kazi ungetafuta hizo taarifa.
Usimchunguze demu wakati huwezi kumuacha. Piga kimya Mungu akutangulie anko.
 
Fanya hiyo enterview acha mbwembwe! Ungekuwa upo curious sana hela usingejaza hiyo kazi ungetafuta hizo taarifa.
Usimchunguze demu wakati huwezi kumuacha. Piga kimya Mungu akutangulie anko.

kweli anco malengo lazma tuyafanikishe
 
Wale watu wao ambao wapo pale mie sijui niitaje maana Internship nachofahamu ni mwanafunzi wa chuo ambae atarudi chuo lakini wale pale kama wamewekwa tuu ili ikitokea ajira wawachukue wanakula kilo 5 sasa we mupya sijui utakula ngapi!!!??ila mfanyi kazi wa chini anaanzia kilo 7...
ALL DA BEST "CHAMPION"

Mmh hizi story hizi Intership CRDB ni laki tatu na walio ajiriwa wapya Laki 6 wazoefu laki 8.
 
laki 7.5 uko affected na increment acha uongo!basic ni 6.29

Watu wanapenda sifa za kijinga humu acha tu... Yote hii wanataka waonekane bank officer wako juu kumbe hamna lolote njaa tu ndo maana wanaiba...
 
Back
Top Bottom