Young murrah
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 415
- 459
- Thread starter
- #41
Dont think on salary first mzee pambana kwanza.
thanks mkuu tunapambana
Dont think on salary first mzee pambana kwanza.
freshers take home 500,000 man.
Kaka mpunga mzur tu kuna marupu rupu ya mafuta ya gari hata kama hauna xo uckate tamaa afu wale jamaa wanapiga intrvw mbili writen na oral xo jipange ol da best!
we jidanganye tu ma it hawana kazi yoyote kwenye mabank
Habar wana jf Nimeitwa na hawa jamaa wa crdb kama IT naomba kujua take home salary ya IT Department
"Naamini Maisha ni hatua
tunapambana bahasha sizichoke Mungu yu nasi
poa poa same to you nice dream
Moja wapo ya maswali utakayoulizwa: Elezea jina CRDB...
umeenda murrah
asante mkuu nlikuwa cjuhi
kesho ndio Interview vip umepata jibu??
Wale watu wao ambao wapo pale mie sijui niitaje maana Internship nachofahamu ni mwanafunzi wa chuo ambae atarudi chuo lakini wale pale kama wamewekwa tuu ili ikitokea ajira wawachukue wanakula kilo 5 sasa we mupya sijui utakula ngapi!!!??ila mfanyi kazi wa chini anaanzia kilo 7...Habar wana jf Nimeitwa na hawa jamaa wa crdb kama IT naomba kujua take home salary ya IT Department
"Naamini Maisha ni hatua
tunapambana bahasha sizichoke Mungu yu nasi
Una jibu lakini?...
Wale watu wao ambao wapo pale mie sijui niitaje maana Internship nachofahamu ni mwanafunzi wa chuo ambae atarudi chuo lakini wale pale kama wamewekwa tuu ili ikitokea ajira wawachukue wanakula kilo 5 sasa we mupya sijui utakula ngapi!!!??ila mfanyi kazi wa chini anaanzia kilo 7...
ALL DA BEST "CHAMPION"
haahaua ni hiyo hiyo 250000
Habar wana jf Nimeitwa na hawa jamaa wa crdb kama IT naomba kujua take home salary ya IT Department. Naamini Maisha ni hatua tunapambana bahasha sizichoke Mungu yu nasi
Mwenyewe hauko specific IT kwa level gani certificate,diploma au bachelor wayu watajua jinsi ya kkpa jibu sahihi
Ivi 250,000 utaishije dar?
Basic salary 629,000