Young murrah
JF-Expert Member
- Mar 31, 2014
- 415
- 459
- Thread starter
- #21
haahaaajaja
Eti Inaingia Akilini IT Department 245,000/=@Masai dada
haahaaajaja
duh akili Imeloose kabsa kanikata maini bila kuagana na nyonga
"I love kitaa stiriti univesiti"
Eti Inaingia Akilini IT Department 245,000/=@Masai dada
hahahha aisee keahobnikumbushe nitakwambia
gnyt
duh basi poa mkuu Unataka kunambia IT department wanazidiwa take home na cashier??
Eti mkuu hvi Inaingia akilini 245,000/= IT department si bora niendelee kupiga mbishe za kitaa tu
siku hizi macashier wanaheshimika sana kwenye mabenki... huwezi wafananisha na IT wanaozugazuga tu.
ma IT wako wengi sana siku hizi.. hawana dili
kama ni wingi sikuhizi kila course ina watu kibao kitaa alafu Unajua kazi ya IT??
kama ni wingi sikuhizi kila course ina watu kibao kitaa alafu Unajua kazi ya IT??
system ya crdb iko complete kwa hiyo ma it hawana kazo yoyote labda itokee itilafu kwenye network ambayo ni mara chache inatokea.. kama ni kupost cash kwenye account za watu mtu yoyote anaweza kufanya hata form four leaver.
hujui unachokiongea KAMA SYSTEM IPO COMPLETE wasingehitaji ma it alafu msimdanganye mwenzenu kama customer care analipwa zaidi ya 245 graduate atalipwaje iyo au mnamkatisha tamaa asiende interview bz na nyie mmeitwa interview?

watu wengi wa course tofauti wanajua it so it sio ishu kabisa siku hizi..kuanzia ma accountant., engineers, wote it wanaijua kutokana na kukua kwa technolojia. it haina tofauti na secretary course
hapo Umeingia choo cha kike tofautisha computer Application na IT unayosema ww Inaitwa computer Application