Nimeipiga kupitia dirisha la hapa nilipo

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
BwYXm3UIQAAo1mo.jpg:large
 
dadadeki,spain hiyo?.nice view bulldog.umetumia camera gani mkuu.mana mimi ni mlevi wa canon.hapa nilipo nina canon EOS 5D mark iii,picha yake ni hatari.
 
haiwezi kua spain hiyo mkuu,must be one of eastern european contries,wacha atueleze
 
dadadeki,spain hiyo?.nice view bulldog.umetumia camera gani mkuu.mana mimi ni mlevi wa canon.hapa nilipo nina canon EOS 5D mark iii,picha yake ni hatari.

Nimetumia Nokia Lumia mkuu. Camera kubwa naona mzigo
 
5D sio camera kubwa mkuu,it's just a hand held camera for professional/ amateur photographers.ila kama utaongeza lens kwa mbele, inaweza kuwa kubwa kama bunduki vile.inategemea na mahitaji yako ya uchukuaji picha.
 
Hao jamaa wana njaa kuliko hata kule ukerewe kwa akina Remote.
Halafu rushwa nje nje!

Wana roho korosho kuliko Nyakageni na Wanaikimbia nchi yao kila siku na kuja US na UK.

naona diasporas mnaanza kupondeana nchi/miji mnayo ishi.ndio mana wengine hawataki ku share majina ya sehemu wanazo ishi.
 
Last edited by a moderator:
5D sio camera kubwa mkuu,it's just a hand held camera for professional/ amateur photographers.ila kama utaongeza lens kwa mbele, inaweza kuwa kubwa kama bunduki vile.inategemea na mahitaji yako ya uchukuaji picha.

Umepiga picha ngapi kwa hyo camera mkuu.

Weka baadhi hasa za nature kama ukiweza
 
Back
Top Bottom