Nimeipiga kupitia dirisha la hapa nilipo

Nimeipiga kupitia dirisha la hapa nilipo

naona diasporas mnaanza kupondeana nchi/miji mnayo ishi.ndio mana wengine hawataki ku share majina ya sehemu wanazo ishi.

Nimekuja kutembea tu, narudi soon
 
Kahtaan si umesema upo vijijini unaangalia nyota. Alafu kwa taharifa tu ukerewe hakuna njaa. Karibu sana kisiwani kwetu
 
Umepiga picha ngapi kwa hyo camera mkuu.

Weka baadhi hasa za nature kama ukiweza

tuombeane uzima,ipo siku nitakuja kufanya hivyo ila kwa sasa naitumia zaidi ktk project za documentary,music videos and tv adverts.
 
iko Northern Europe.
Hii nchi mbongo yyt asijaribu kwenda kutafuta maisha huko.

Atakosa hata nauli ya kurudi home.

teh teh kahtaan kwa dharau sikuwezi.au kwa kuwa wewe upo USA?. kwa hiyo wabongo wanao ishi huko " lithuania" wana taabika?.
 
Mkuu asikwambie mtu!
Hizo NCHI TANO za Baltic NI BALAA.

Wakati wa winter unakuta kondoo wao wanakula magazeti.

Bora mbaki Bongo tu! Japo ile Gongo ya bure ya CDM mnaweza kubahatisha. Na wali wa Miskitini au zile sadaka za bwana.

Huko kuchnehi

Kondoo wanakula makaratasi mara kumi nikae kijiweni nishindie kahawa na kashata mchana, kie kie kie kie kie
 
kwani mkuu unadhani tz tuna udini basi,ni pilika tu za wanasiasa wachache hutumia kigezo cha udini kusukuma agenda zao.otherwise tungeshachinjana.huyo kahtaan mwenyewe ukute ana dada zake wamezaa na wakristo au binti yake mkubwa kachumbiwa na john.jk mwenyewe alisha wahi kukiri kuwa ana ndg zake upande wa baba yake mdogo ni wakatoriki.baadhi yao nawafahamu wapo pale chalinze.udini tz ni ngumu sana.tutaishia tu kupayukiana kwenye mitandao ya kijamii.

Waafrica tunaishi tu ilimradi
 
Hao jamaa wana njaa kuliko hata kule ukerewe kwa akina Remote.
Halafu rushwa nje nje!

Wana roho korosho kuliko Nyakageni na Wanaikimbia nchi yao kila siku na kuja US na UK.

Te te te sasa bora wapi kukaa Tz au Lithuania? Tena hapo ni bora maana akienda kwa juu ni Estonia (ingawa nao wana njaa kali mno) kua EU kunawatoa kusafiri kwa tourist visa la sivyo wangekua ka Tz tu
 
Last edited by a moderator:
Unahitaji camera ya aina gani?.video shooting camera au photography camera. zipo zinazo fanya kazi zote mbili kwa wakati mmoja.ni single lens riflex(SLR) cameras kama canon eos 7D or nikon D5000.
 
nimeachana nae mkuu.

unahitaji camera ya aina gani?.video shooting camera au photography camera.

zipo zinazo fanya kazi zote mbili kwa wakati mmoja.ni single lens riflex(SLR) cameras kama canon eos 7D or nikon D5000.

Jana kuna mtu kaniuzia camera sony handycam DCR-Sx65 kwa $100 its brand new sjui kaiba wapi.

Kwa sasa nahitaji ya still picture, kuna moja nimeona ya samsung iko hadi na Wi-fi, 4G! Hizo Nikon D 5000 ndio the best?
 
siwezi kukiri kwamba nikon D 5000 ni camera bora la hasha,sababu hawa jamaa kila baada ya mda fulani hutoa version mpya na kila version huwa na ubora wake.kwa mfano d5000 ilitoka 2009 lakini hapo kati kati walisha toa version zingine mpaka d5300.nilikuwekea hiyo kutokana na unafuu wa gharama.kwamba bei yake ya 2009 haitakuwa sawa na ya 2014 kwa vyoyote itakuwa imeshuka hasa kama utauziwa kwa "mazabe".ila kwa upande wa still picture ni camera nzuri na ita kupa picha smart sana endapo kama utacheza nayo vizuri.

dcr-sx65 sio camera mbaya.ni kamera ndogo na nzuri sana kwa kushoot matukio madogo madogo kama birthday,vacation,graduation nk. ubora wake wa picha ni MPEG2-PS ambao ni sawa na ubora wa picha ya DVD.tatizo lake haiwezi kurekodi HD signal.
 
Okay dah asante sana mkuu uko vzr kwenye fani yako, hongera sana huwa naziona hizo D5000 ila sijawahi dhani ni kitu bora kiasi hicho
 
Tusifikiri ya Africa ya kati Nigeria na kwingineko yalianzaje...! Yalianza kama hivi kwenye mitandao ya kijamii leo yametua kwetu kwa kasi ya ajabu mno tunaikaribisha vita ya kidini kwa nguvu mno, Kuna baadhi ya post ukizisoma humu unajaribu kuvuta picha kama ndio ingekuwa watu wanaonana live halafu wanajibishana hivi sidhani kama pasingechimbika
Tuko so brainwashed na hizi dini kiasi cha kujiapiza maneno ya ajabu ajabu lakini kumbukeni vita ya dini haina mshindi zaidi ya kuwaumiza wasio na nguvu wala huwezi
Hii mitifuano ya kidini huku mitandaoni ikiendelea hivi kwa miaka mitano ijayo tumekwisha
 
Mitandao ya kijamii ina nguvu sana kwenye jamii.
 
Bulldog si unikaribishe nije osha macho
halafu kuna watu wanaboa kwani kila kitu lazima mchomekee dini
 
Last edited by a moderator:
Naona unarudia maneno km umekalia 12 inch Sausage!

Bado kidogo tu utatoa ile sauti ya " ahhhhh! Jeesus! Ohhhmy holy jeeesus! Pls dont stop! Ahhhhh!

Teh teh teh.

Na hilo jisura lako lilivyo bovu! Mtu akikuchungulia anaweza kutoka mbio.
There nothing better than that to you. You are A KAFIR. Period. Ndio maana unaikumbuka ile brown nasi babi sausage inayo kuliwaza everyday. Huu ni Msiba kwako.

1959255_323521031148959_4623315494588444542_n.jpg
 
Back
Top Bottom