Nimeipiga kupitia dirisha la hapa nilipo

Nimeipiga kupitia dirisha la hapa nilipo

Aachane na mimi kivipi?
Kwani tumefunga ndoa?

We msigwa umevimbiwa matoke au?
Manake naona unaanza kujamba ovyo.

ImageUploadedByJamiiForums1409572071.515221.jpg
 
This reminds me the face of Ishmael
Except the Dog is got a good lips!

Teh teh teh!

Check this out!

Jamaa ana mashavu ka makalio ya nyani! Na sura mbovu kama analilia Uhuru. Au km Nyani kaonja Ukwaju!

Teh teh teh!.aisee leo ntaumia mbavu!
10616140_322088191292243_3434212179032777434_n.jpg
 
Kumbe ndio mana huwa unapigwa ban kahtaan

hahaha jerry mi naishia tu kucheka hapa ofisini.kwani unadhani jamaa huwa unaonewa basi.karibu ban zote anazopigwa huwa za halali.yaani kwa mwezi anaweza akafikisha ban hata 10.ana ID za dharula kama 20 hivi.huyu jamaa ni extremist wa hatari hapa jf.mods wenyewe wamemshindwa.kuna vipost yake fulani hivi anajinadi eti yeye huko america ni daktari..lol
 
Last edited by a moderator:
Massa;10478417]Kahtaan si umesema upo vijijini unaangalia nyota.


Alafu kwa taharifa tu ukerewe hakuna njaa. Karibu sana kisiwani kwetu[/QUOTE said:
"Ukerewe Malegea kwa "abhalosi bhaturutumbi" Hahahahahaaa.Mkuu Massa, shwari lakini?
 
Tusifikiri ya Africa ya kati Nigeria na kwingineko yalianzaje...! Yalianza kama hivi kwenye mitandao ya kijamii leo yametua kwetu kwa kasi ya ajabu mno tunaikaribisha vita ya kidini kwa nguvu mno, Kuna baadhi ya post ukizisoma humu unajaribu kuvuta picha kama ndio ingekuwa watu wanaonana live halafu wanajibishana hivi sidhani kama pasingechimbika
Tuko so brainwashed na hizi dini kiasi cha kujiapiza maneno ya ajabu ajabu lakini kumbukeni vita ya dini haina mshindi zaidi ya kuwaumiza wasio na nguvu wala huwezi
Hii mitifuano ya kidini huku mitandaoni ikiendelea hivi kwa miaka mitano ijayo tumekwisha
chakuongezea hawa mods wangekuwa wanafunga thread zote zinazohusu maswala haya ya dini maana ni kerokero kabisaaa.
 
Back
Top Bottom