Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
Hakuna simu kama A15 kwa price point ya 300,000-400,000 hapa Tanzania ambayo ni mpya unafungua mwenyewe kwenye makaratasi.Wasalaam wadau. Mimi sitangazi biashara ila wadau hii simu inakaa na chaji na ipo Faster mtandaoni.
Ni simu gani nyingine ambayo unaiona ni nzuri mno tushee mawazo maana zamani nilikua najinunulia tu.
Hii itatupa experience maana maisha yetu kwa sasa bila smartphone hucheki.
Ukienda nyumbani kelele kibao.
Mimi furaha yangu naipata mtandaoni
A 25 kariakoo 550 unguja 450Tajeni bei basi Ili tuvunje vibubu..
Huwezi kulinganisha A series na hizo Tecno/Infinix zako, though kweli ni low-mid range.A series ni tecno na infinix zilizochangamka tu.
okHuwezi kulinganisha A series na hizo Tecno/Infinix zako, though kweli ni low-mid range.
Sawa mkuu nitacheki hizohizo jaribu ni nzuri navyosikia angalia inayokufaa.
Mimi nataka ya A35Chukua kama yangu A 25
SawaMimi nataka ya A35
Nakubali kaka!!👿samsung kwenye games go for S series chip ya snapdragon iko vizur
Uzi ufungweIpo vizuri au ndo unaimudu gharama yake?
Samsung Galaxy A55 5G: specs, benchmarks, and user reviewsA 55 ipoje Specification zake?
unatutukana wa tecno na infinixA series simu za watu ambao hawawezi afford high end.
Hiyo siuzi bossA56 bei gani?
Jamiiforums kila mtu tajiri, ngoja uone simu anayotumia sasa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Sioni shida ya hizi simu kwanza zinatunza charge sana
Acha tu mkuu, usikute hapo ana ka Infinix kake anatuponda siye wa A series😁😁Jamiiforums kila mtu tajiri, ngoja uone simu anayotumia sasa 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Chief mkwawa umemfumbua macho kwa kweli a15 kwa mtumiaji wa kawaida itakufaa ila kwetu sisi ambao ni supper heavy users haitufai hata kidogo . sisi lazima kutumia flagship pekeeHakuna simu kama A15 kwa price point ya 300,000-400,000 hapa Tanzania ambayo ni mpya unafungua mwenyewe kwenye makaratasi.
Weakness yake ni Camera tu sio nzuri ila mambo mengine kama Ukaaji chaji, kioo decent cha Amoled, perfomance nzuri ya Helio G99 na warranty ambayo ina cover hadi kuvunjika kioo.
A16 ni mpya yake ila bei ipo juu na hakuna upgrade ya maana sana ku warranty hio bei kubwa.
Kwa kua Chief-Mkwawa ame'like basi sina shaka na post yako...Wasalaam wadau. Mimi sitangazi biashara ila wadau hii simu inakaa na chaji na ipo Faster mtandaoni.
Ni simu gani nyingine ambayo unaiona ni nzuri mno tushee mawazo maana zamani nilikua najinunulia tu.
Hii itatupa experience maana maisha yetu kwa sasa bila smartphone hucheki.
Ukienda nyumbani kelele kibao.
Mimi furaha yangu naipata mtandaoni
Hizo ni zile ambazo mtu kavaa halafu ameziacha, ni nzuri kama zimefuliwa ndio ununue...Pia kuna hizi Simu za Samsung za mitumba zipoje?