Nimeipenda JK akicheza Ba na Mama Salma

Nimeipenda JK akicheza Ba na Mama Salma

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,473
Reaction score
757
Hapo JK na Mama Salma wakichezabao nice huh?

JK_akicheza_bao.jpg


Baba_wa_Taifa.jpg
Baba wa Taifa na mkewe wakiwa home
 
Mbona Nkapa na Anna hujaweka picha yao? au hawajawahi piga picha wawili?
Subiri kidogo na Upload ile picha ya Mkapa akiwa kavunjika mguu akiwa na POP a ya Anna Mkapa naye akiwa kavunjika mkono naye ana Bandeji! Si unakumbuka lile pambano lao?
 
Subiri kidogo na Upload ile picha ya Mkapa akiwa kavunjika mguu akiwa na POP a ya Anna Mkapa naye akiwa kavunjika mkono naye ana Bandeji! Si unakumbuka lile pambano lao?

Hivi Pesatatu Mrambo hakuwa karibu kweli? dah nimekumbuka mbali sana, TANZANIA NI NCHI NZURI, NA VIONGOZI WAKE NI WAZURI SANA KWANI WAKATI MWINGINE HUWABURUDISHA WANANCHI WAO KWA VIBWANGA VYAO
 
Hapo ndipo raha ya mchezo ilipo! JK akimfunga Salma sawa, je akifungwa yeye tinasemaje?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom