Umeweza kwa ucha Mungu? Au kwa kujua kuwa sasa unatambulika,sio kama zamani!?Katika huu mkanganyo wa nida Kuna mtu kajichanganya kanitumia 805000/# jina lake ni Romano mwakanosya nimekaa masaa matatu bila kutoa nikampigia nikamrudishia YOTE! Je wewe ungeweza?
Haaaa *****Mpaka anitishe ndo ningemrudishia na si yote labda tishio liwe kubwa maana unaweza amka asubuhi dudu yako unaikuta kwenye sufuria nyanya pembeni,kitunguu,chumvi na limao.. hapo hata namtumia na ya kutolea isiwe tabu 😂😂
Nil
Niliwaza pengine alimtumia mgonjwa hospital
nitafute tupeane kazi mkuuKatika huu mkanganyo wa NIDA kuna mtu kajichanganya kanitumia 805,000 jina lake ni Romano Mwakanosya nimekaa masaa matatu bila kutoa nikampigia nikamrudishia YOTE! Je wewe ungeweza?