Nimeingiziwa laki nane kimakosa nimeirudisha kwa mwenyewe

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,379
30,829
Katika huu mkanganyo wa NIDA kuna mtu kajichanganya kanitumia 805,000 jina lake ni Romano Mwakanosya nimekaa masaa matatu bila kutoa nikampigia nikamrudishia YOTE! Je wewe ungeweza?
 
Katika huu mkanganyo wa nida Kuna mtu kajichanganya kanitumia 805000/# jina lake ni Romano mwakanosya nimekaa masaa matatu bila kutoa nikampigia nikamrudishia YOTE! Je wewe ungeweza?
Umeweza kwa ucha Mungu? Au kwa kujua kuwa sasa unatambulika,sio kama zamani!?
 
Mpaka anitishe ndo ningemrudishia na si yote labda tishio liwe kubwa maana unaweza amka asubuhi dudu yako unaikuta kwenye sufuria nyanya pembeni,kitunguu,chumvi na limao.. hapo hata namtumia na ya kutolea isiwe tabu 😂😂
Haaaa *****
 
Siku nyingine utaingiziwa apeche alolo kwa bahati mbaya usisahau kumrudishia pia.

dodge
 
Sasa hapo sioni issue ni nini?mbon jambo jepesi sana. Huuu utoto wa kila kitu kutaka kutuma JF mnajaza server ya JF
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom