Nimeingia Mkoa wa Lindi. Naombeni mwongozo wenu tafadhali

Lindi usiuze game ovyo, utabakizwa.
Wana dawa yao kwa kuchukua manii za kiume, kama mdada akitaka kukubakiza hauchomoki, nina experience nimekaa miaka 6, now nimegeuza home dar
 
Nililalaga Machenza (ile mpya) bei walinipiga 15000. Kiwanja nilienda karibu na bahari pale.
Ila nilisitika lindi samaki bei kubwa wakati bahari naiona ile pale.
Bora Dar tu.
Lindi Hakuna samaki bahari upende wao ina kina kifupi sana ...samaki wanatoa kilwa almost 100km away ndo mana bei inakua kubwa ...
 
Nakumbuka kuna mwaka nane nane ilifanyika pale, guest zilijaa ikabidi watu walale kwenye nyumba za watu binafsi na wengine kulala mtwara.
 
Nimefika Lindi na jamaa zangu wawili muda huu. Sote ni wageni mkoani hapa. Tutakuwepo kwa siku 21.

Mimi naomba mwongozo nipate lodge nzuri ya kuanzia tsh 30,000- 50,000 isizidi hapo. Iwe nzuri, safi na salama pia.

Lakini kama kuna mambo ya kuzingatia nikiwa huku, maoni na ushauri ntapokea pia ili nijue namna ya kuishi na watu wa huku kwa siku hizo 21.

Maeneo gani yafaa kutembelea, viwanja tulivu, kama kuna vyuo huku nakadhalika nakadhalika.

But pia si vibaya mkinambia namna ya kutembea, kuongea na mambo kama hayo. Naamini mmenielewa.
Braza vipi kuhusu PDF mbona hudokezei hata kidogo au unatuchukuliaje humu kwamba hatuna hela ama?
 
Hapo katikati ya mji kuna restaurant nzuri sana ya wapemba (jina nimesahau), niliwahi kwenda hapo wana msosi mzuri sana.

kuhusu Lodge hapo town center zipo za 20k hadi 50k nzuri sana.
Kuna ire ya Jamaa wa Tanga, nazani inatwa Tanga....
 
Kuna ire ya Jamaa wa Tanga, nazani inatwa Tanga....
Lie karibu na bandarini? Ina wahudumu wazuri full ushungi?
Imekufaga kitambo.
Lindi ukitaka chakula ni Kidia,Himo,Kwa White opposite na Paris club/bar
 
Nikutahadharishe tu kwamba Lindi uchawi upo.

1. Nadhani utamkumbuka mbunge msomi wa kiwango Cha master's alikaushwa sauti akashindwa kuapa.

2. Kuna mdada alikua anagombea viti maalum walimkausha sauti akabaki kusema tu kidumu chama.

3. Tukio jingine mwenyewe unalikumbuka.

4. Tukio jingine likihusishwa na kiongozi wa chama Cha upinzani kipindi hicho akiwa kinda kabisa bungeni. Mchana kweupeeee.
Ila watu wa Lindi hawana wivu wa kimapenzi 💯%

Tena unaweza kuchukua mke wa mtu ukakaa nae hapo gesti kwa siku zote na mumewe mnaongea nae vizuri tu na siku ukiondoka mke anarudi kwa mumewe.
Vipi ardhi kubwa za uwekezaji yaani estates tapata Lindi.Kilimo chikichi, alizeti.
 
Suala la ardhi lindi ni la kujiokotea tu..fika ofisi za halmashauri husika watakupa maelekezo mazuri.

#MaendeleoHayanaChama
Ukishapata Hilo shamba na kuanzia kilimo chenye tija, kaa mkao wa kurogwa.
Mkoa una wachawi utadhani Geita!!!
 
Nimekuja Lindi. Dah. Pakiwaki kingese.

Niliplan kukaa siku 2 hapana kesho naamsha naenda Mtwara.

Mikoa mingine bado sana aisee.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom