Nimeingia jimbo la Rorya jioni hii kwa operation 5 days

Unatisha Kamanda, tangu umetoka umagambani umeichakaza vilivyo kanda ya ziwa. Tunakuunga mkono kamanda, naamini kazi uliofanya muda ulioingia kwenye chama ni kubwa kuliko ya masalia ambao wengine walijifahamu wakiwa Chadema.
 
Wilaya ya Rorya haina hospital ya wilaya ,(2) serikali imeanzisha program ya kujenga vyuo vya ufundi kila wilaya (vocation training) wilay ya rorya haina vocation training vijana wengi wanamaliza form four hawana pa kwenda nimefanya ziara kidogo vijijini kusalimia ndugu na jamaa kila ninapoipita wanalalamika watoto wao wanafeli wakati tayari wamewekeza kwao all asets (fixed and liabilities) walizonazo wameuza ngombe, mbuzi,nyumba, mashamba kuwasomesha watoto but hawafaulu it look kama vile Airo na ccm wamepata tender ya kuongeza umaskini kwa wananchi wa Rorya.waambie uwepo wa vyuo vya ufundi ni muhimu
 
Kata ya tai unayoenda kesho ni miongoni mwa kata maskini ijapokuwa inazungukwa na ziwa (lake shore) kuna soko la kuuzia samaki tender ya kuchukua ushuru soko la samaki la sota kata ya Tai imepewa CCM kiufisadi, (2)ujenzi wa shule ya sekondari Tai ,bukara na kata zote za Rorya amepewa mdogo wake lameck anayeitwa michael na hata kampuni anayotumia kujenga hizi shule haijasajiliwa popote!!
 
Kamanda unahangaika bure pesa wanakula kina Lema wewe endelea kuwa msukule tu.
 
Kamanda piga kazi tupo pamoja achana na hawa wanaandaa waraka wa siri ili kufanya mapinduzi ndani ya chama kwa msaada wa wassira na Nape na kukejeli kila harakati njema huku wakijiita wazalendo na kujaribu kudanganya watanzania kuwa ni demokrasia. DEMOKRASIA GANI kufanya mambo gizani ukigundulika unapiga magoti na kuomba ujiuzulu na Unapowajibishwa kilio kinaanza...... Songa mbele kamanda.
 
Nimepokelewa.

vizuri sana hapa Shirati na makamanda wakiwa na boda boda nyingi sana,wasafiri wenzangu walistuka maana nilikuwa kwenye (Hiace) daldala,makamanda tushirikiane.

Kesho tutakuwa kata ya Tai,kesho kutwa Ingiri,jumapili itakuwa mjini hapa,kama uko mbali au karibu tushirikiane hasa vijijini kwenye changamoto kubwa.

Umevurugwa wewe! wenzako wanakwenda ulaya na hawara zao wewe uko porini unatumika, kondom ikishatumika hutupwa.
 
Back
Top Bottom