You have a point lakini kwa upande wangu ngoja niweke hivi... Sometimes in life, somethings matters and some doesn't, have decided to trust him na sitaki kumtilia mashaka ya namna yoyoteMkifikia hapo; jua hakuna ndoa; mnasogeza tu siku.
Ukifika hatua you are not bothered na chochote anachokifanya mwenzio; automatically moyo umeshaingia baridi, hakuna upendo tena; ni watu wawili wanaoishi pamoja. Cha kusikitisha zaidi ni pale unapoogopa kushika simu ya mwenzio eti kwa sababu unajua utakachokutana nacho kitakuumiza. Inasikitisha sana
😂😂umeona eeHAPANA kwa herufi kubwa
Kila ntu na yake
Mwishowe aje ajue I'd yangu ya jf bure 😁
Tulikuwa tunajadiliana tu my dear; to each his own sweetheart as long as kinakupa amani na maisha yanasonga. Mimi simtilii mtu mashaka; but I watch over his steps na imetusaidia sana cos kuna muda namshtua mapema kwamba huyu Mtu bana sio mwema (hapa simaanishi michepuko; kuna friends au hata ndugu ambao usipokuwa makini, utakuta mwenzio ameshatumbukia shimoni). Mtu yeyote ndani ya nyumba yangu; huwa namfuatilia nyendo zake; atake asitakeYou have a point lakini kwa upande wangu ngoja niweke hivi... Sometimes in life, somethings matters and some doesn't, have decided to trust him na sitaki kumtilia mashaka ya namna yoyote
15yrs of marriage bado naanza kumtilia mtu mashaka na kukagua simu yake,naona kama hiyo stage imenipita, all that matters is we are happy,we have a happy family na tunasongesha gurudumu letu
😋😋 unaonekana mtamu sana weweHapana,maana kilichonileta kwake ni uboo simu ya nini? Akiificha ile msosi akwende tu
Upo sahihi kabisa, dunia imevurugikaTulikuwa tunajadiliana tu my dear; to each his own sweetheart as long as kinakupa amani na maisha yanasonga. Mimi simtilii mtu mashaka; but I watch over his steps na imetusaidia sana cos kuna muda namshtua mapema kwamba huyu Mtu bana sio mwema (hapa simaanishi michepuko; kuna friends au hata ndugu ambao usipokuwa makini, utakuta mwenzio ameshatumbukia shimoni). Mtu yeyote ndani ya nyumba yangu; huwa namfuatilia nyendo zake; atake asitake
Watch out mwenzako anaongea nini na anaongea na kina nani; know exactly what they feed his mind. Mfano siku hizi kuna makanisa na Watumishi ambao usiposhtuka mapema; utakuja kushtuka ndoa inavunjika kisa Mtumishi fulani. Mimi ni mlinzi; nalinda kiroho na kimwili; mengine atajuana na Mungu wake; but I played my part.
Nimechekaaa. Male/female bestiesUpo sahihi kabisa, dunia imevurugika
Halafu umenikumbudha, kuna hawa wanaoitwa friends kwa kweli mimi sitakagi ujamaa nao, the are not good people, especially friends wa jinsia tofauti
Unakuta rafiki sijui classmate ametuma msg "Hi Luv, familia haijambo?" Mi nikajibu mxeeeew, tangia hiyo siku sijaonaga tena huyo classmate akitext wala akipiga, tukakutanaga nae kwenye harusi ya classmate mwenzao akakimbia maana alivyoniangalia tu alikosa confidenceNimechekaaa. Male/female besties
Nilijua hukosi kwenye huu uziKwanza ukague ili ugundue nini??? Kujitafutia presha za rejareja tu mamy!
Hahaha Kwanini??Nilijua hukosi kwenye huu uzi
Kisa cha kumpa simu yangu?Je wapenzi wanapaswa kuwa na uhuru, kila Moja na simu ya mwenzake?
Jibu "Ndiyo " au "Hapana"
Kwanini?
Faida zake ni zipi?
Hasara zake ni zipi? View attachment 2784316
Hii mada ni chokozi sana na wewe unazipendaHahaha Kwanini??
🤣🤣🤣!Hii mada ni chokozi sana na wewe unazipenda
Haki umejua kunichekesha; eti mxeeeew🤣🤣🤣🤣Unakuta rafiki sijui classmate ametuma msg "Hi Luv, familia haijambo?" Mi nikajibu mxeeeew, tangia hiyo siku sijaonaga tena huyo classmate akitext wala akipiga, tukakutanaga nae kwenye harusi ya classmate mwenzao akakimbia maana alivyoniangalia tu alikosa confidence
Sema it was long ago, almost 10 yrs back lol🤣🤣 enzi hizo mimi mgomvi nikikuta tu text ntahakikisha alietuma ananijua na kunitambua vizuri
Sema nimekua mie lol
Kweli Kabisa!itakagi ujamaa nao, the are not good people, especially friends wa jinsia tofauti
Kwanini wafichane?Je wapenzi wanapaswa kuwa na uhuru, kila Moja na simu ya mwenzake?
Jibu "Ndiyo " au "Hapana"
Kwanini?
Faida zake ni zipi?
Hasara zake ni zipi? View attachment 2784316