Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
- Thread starter
-
- #121
Na hivi ndivyo inavyotakiwaNdio. Kwanini asishike simu yangu? Naficha nini?
Binafsi sina siri ktk mapenzi.
Simu yangu akitaka ashinde nayo, aondoke nayo atajijua mwenyewe.
Akishare hiyo yako kuna shida gani?Anayetaka kushea simu, nunua simu ya mezani weka ndani...
Hakika umenenaNikiwa kwenye ndoa au sirious relationship sim ya mpenzi wangu ni lazima nishike na nikague nn anafanya kwenye sim yake kwasabab dunia ya saiz zaid ya 80% ya tabia za mtu zipo ndani ya simu so siwez kuacha kukagua sim. Kukwepa kushika sm ya mpenz ni sa na kula funza gizani ukategemea unakuka chakula salama hiyo hali siwezi kabisa. Na yey namruhusu ashike yangu tena nampa na password
Nimetaka comments za juuYataje
Ila wwHapana,maana kilichonileta kwake ni uboo simu ya nini? Akiificha ile msosi akwende tu
Kwahiyo kumbe shida siyo kuwa access na simu,shida ni kukosa uaminifu.Ndoa zinakufa kwa kukosa uaminifu cku izi mitongozo mingi,
Lakini mwanaume ni mtu wa muhimu kwako
Kwamba litakalomkuta likimuuwa kivyake..!!! Kuna ma EX ujuwe..!!Ndio. Kwanini asishike simu yangu? Naficha nini?
Binafsi sina siri ktk mapenzi.
Simu yangu akitaka ashinde nayo, aondoke nayo atajijua mwenyewe.
Kabisa ๐Comments zinaonesha jamii imejaa wazinzi na wahuni wengiii Wengine wakidai Wana ndoa kumbe kanjanja tu.
Tuishi Kama Baskeli imepaki.
Ex anatafuta nini kwenye simu Yako?Kwamba litakalomkuta likimuuwa kivyake..!!! Kuna ma EX ujuwe..!!
We Saint Anne wewe kuna ma EX..!!Kabisa ๐
Wanaopinga simu kushikwa nadhani si waaminifu kwa wenzi wao
KabisaUkiona hakuna ruhusa ya kushika simu ya mwenzio ujue hapo hakuna ndoa/Mahusiano.
Ni swala la muda tuu.
Binafsi siwezi kuishi kwenye ndoa ya hivyo, its better niwe single.
Ex atafute nini kwenye simu?We Saint Anne wewe kuna ma EX..!!
Kwanini una mawazo hayo hasi kwamba mtu skishika simu anakukagua?Hamna ndo maana hamna haja ya kukaguana
Kwahiyo huwezi kumpa mkeo simu Yako?Unaposajili laini kuna karatasi ya vigezo na masharti huwa ina vipengele vingi huwa hatusomi. Laini ya simu na simu ni mali ya mtu mmoja. Na faragha ni baina ya mwenye laini na mtoa huduma hakuna mtu wa 3 ambaye ni mpenzi anahusika.
Vigezo na masharti kuzingatiwa.
๐๐ ๐ฎ๐ง๐๐ฎ๐ฃ๐ฎ๐ ๐ฎ๐๐จ๐จ ๐ฐ๐ฐ๐ ๐ฎ๐ฅ๐ข๐จ๐ง๐ ๐ฐ๐๐ฉ๐ข ๐ฆ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐ฐ๐ฐHapana,maana kilichonileta kwake ni uboo simu ya nini? Akiificha ile msosi akwende tu
Maex wa nini mimi wakati nimeshampa moyo wangu mtoto wa mtu ahangaike nao?Kwamba litakalomkuta likimuuwa kivyake..!!! Kuna ma EX ujuwe..!!
Hii nzuri, kuna kauli ya kaka Mshana Jr aliwahi isema nanukuu, "usiyatafute matatizo acha yaje yenyewe". Nilimuelewa sana.Kabisa,.mimi hata ukisahau simu yako hapo sigusi, tena naweza hama chumba kabisa ili nisishawishike kuigusa, naogopa kuvunja trust niliyonayo kwa mtu maana ikivunjika I won't trust him ever, and you know what it means? Hakutakua na mapenz tena na familia itavunjika vipande, bora tubaki hivihivi hata kama ana mambo yake mradi nisiyajue kabisaaa
Ndiyo; ASAP๐คฃ๐คฃ๐คฃKwahiyo unanishauri na mimi nipekue?
๐คฃ๐คฃ๐คฃHapana,maana kilichonileta kwake ni uboo simu ya nini? Akiificha ile msosi akwende tu