Nimeikuta sehemu

Je wapenzi wanapaswa kuwa na uhuru, kila Moja na simu ya mwenzake?
Jibu "Ndiyo " au "Hapana"
Kwanini?

Faida zake ni zipi?
Hasara zake ni zipi? View attachment 2784316
Unataka kupunguza porpulation duniani? Imagine unashika simu ya mtu unakuta ana wapenzi zaidi ya kumi na wote anawahonga mapesa kibao na anaenjoy nao maisha halafu that person is said to be your belove husband na mna watoto

Will you spare his life? Mambo ya simu hebu tuachane nayo kabisa mimi sishiki simu ya mtu hata kama namuamini kiasi gani
 
Kwahiyo ni kweli kwamba wanaoficha simu zao kuna mambo machafu wanayafanya?
 
Nashangaa ,watu wanashare wanashare vitu vingi ila simu zao hawataki ziguswe.
 
😂😂😂
 
Kwanza lengo la kushikiana simu ni nini?
Kama ni kukaguana/kulindana na kufuatiliana basi jibu langu ni big No.

Mtu mzima na akili zake timamu akiamua jambo lake atalifanya tu
Kabisa,.mimi hata ukisahau simu yako hapo sigusi, tena naweza hama chumba kabisa ili nisishawishike kuigusa, naogopa kuvunja trust niliyonayo kwa mtu maana ikivunjika I won't trust him ever, and you know what it means? Hakutakua na mapenz tena na familia itavunjika vipande, bora tubaki hivihivi hata kama ana mambo yake mradi nisiyajue kabisaaa
 
😂
Hivi kwani simu zinatisha kiasi hicho?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…