Bess
JF-Expert Member
- Oct 4, 2016
- 542
- 649
1: Walitaka kutuuzia mavazi ya madaktari na manesi kwa bei ya laki 3 kila moja JPM akasema tutashona wenyewe kwa bei ya elfu 30
2: Barakoa kutoka nje zikaanza kuwa adimu na kupanda bei JPM akasema watz kila mtu ashone yake zikashuka bei zikauzwa hadi buku
3: Wakaleta Lockdown ili tujifungie tusifanye kazi watuletee misaada kwa masharti yao JPM akasema no HAPA KAZI TU wakashindwa.
4: Wakaleta vipimo feki ili watanzania wengi waonekane na corona tena wakatabiri wagonjwa wa corona watafikia laki 5 hadi mwezi Mei JPM akapeleka mapapai na oil wakashindwa
5: Wakaanza kutangaza vifo kwa kila anayekufa kuwa kafa na corona ili watz wapate hofu na kufa JPM akainuka na kusema watz tusiogope Corona ni ugonjwa kama mengine tusiwe na hofu tukaitikia na kwa sasa hakuna tena taarfa zao za vifo
6: Madereva wa Tanzania kila anayepimwa anakutwa na corona ili tu waue soko la utalii wetu lakini hakuna anayekufa wala kupona hii ilitaka kuzuia wageni wanaotaka kuja nchini wajue Tz kuna corona JPM akasema wapimeni upya huku wakakutwa hawana corona.
Mzee akasema Fungua utalii