Unachukua corpse yenye Corona, ndio maana tunaendesha pikipiki bila helmet, this is bongo.Sasa hivi ndugu wanaruhusiwa kuchukua mwili, control za matumizi ya simu zitoke wapi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unachukua corpse yenye Corona, ndio maana tunaendesha pikipiki bila helmet, this is bongo.Sasa hivi ndugu wanaruhusiwa kuchukua mwili, control za matumizi ya simu zitoke wapi?
WHO ishauriwe na Jiwe? kwaheri!Na ni baada ya kumsikia JPM. Hata Usa wanatumia
Ameshangaza dunia nzima kwa kuweka sampuli za mapapai,fenesi ,mbuzi na kondoo na kug'amua testkits mbovu. Bbc, Cnn na Aljazeera hawawezi kuonyesha lakini Tv kibao Usa zinamzungumzia mpaka sasa hivi.WHO ishauriwe na Jiwe? kwaheri!
Na watalii wakamiminika! Na uchumi ukapaa!Mzee akasema Fungua utalii
Unamkosea heshima sana.huyu mzee nina imani sasa atakuwa ana amani huko aliko.
Ni ubunifu tu, sasa hivi maiti inavalishwa PPE kama alivyoelekeza Mzee BabaUnachukua corpse yenye Corona, ndio maana tunaendesha pikipiki bila helmet, this is bongo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inauzwa laki ngapi PPE au zinatolewa bure ili na wa kwa-Mfuga mbwa wazitumie.Ni ubunifu tu, sasa hivi maiti inavalishwa PPE kama alivyoelekeza Mzee Baba
JE, BADO MNAWAITA MABEBERU?
THINK BEFORE YOU LEAP
Marekani imetangaza kuwa kupitia Shirika lake la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) itaongeza USD 2.4 M (Tsh. Bil. 5.6) ikiwa ni msaada kwa sekta ya afya kuimarisha uwezo wa maabara na upimaji wa kimaabara, jitihada za utoaji taarifa na miradi mingine mbalimbali. #MillardAyoUPDATES
Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani leo imesema fedha hizi ni nyongeza ya msaada wa USD milioni moja unaolenga kusaidia mapambano dhidi ya kirusi corona uliotolewa hivi karibuni hivyo kufanya kiasi kipya cha pesa zilizotolewa kwa Tanzania kukabiliana na corona kufikia USD milioni 3.4.
Taarifa hiyo imesema kiasi kingine cha dola za kimarekani milioni 1.9 zilibadilishwa matumizi na kuelekezwa kwenye mapambano dhidi ya corona na kufanya jumla ya pesa zilizotolewa na Marekani katika kukabiliana na corona Tanzania hadi sasa kufikia jumla ya USD milioni 5.3 (Bilioni 12 Tsh. )
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha ha ha, ila kesho ni mabeberu sio wadau wa maendeleo?Hao ni wadau wa maendeleo
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sasa hapo mwenzetu unafurahia nini wakati hili linatukuta wote waupinzani na wa ccm? Hilo toa katika hoja zako sukari inatuumiza wote mku.JPM alisema barakoa za nje zina sumu.
Kupima madereva huku kwetu walipimwa na nini wakati maabara yetu imefungwa kwa uchunguzi usiokamilika.
Halafu hivi una habari sukari bado haipatikani uswahilini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hapa ni wahisani siyo mabeberuJE, BADO MNAWAITA MABEBERU?