Nimeikuta Mahali Hii: India Wamezindua Treni yao ya mweno kasi 160Kmph

AVO28

Senior Member
Jan 4, 2018
133
250


Wajuzi naomba mniambie inamaana pamoja na kusifiwa kote kule kwamba India wako njema kwenye reli kumbe hata High Speed train walikua hawana?

Yote kwa yote Nimeipenda hiyo mwendo kasi yao, nadhani na sisi (TZ & KE) Tulipaswa kuchkua kitu kama hicho.
 

KING NH

Member
Aug 3, 2016
45
95


Wajuzi naomba mniambie inamaana pamoja na kusifiwa kote kule kwamba India wako njema kwenye reli kumbe hata High Speed train walikua hawana?

Yote kwa yote Nimeipenda hiyo mwendo kasi yao, nadhani na sisi (TZ & KE) Tulipaswa kuchkua kitu kama hicho.
 

cosmonaut

JF-Expert Member
Apr 12, 2015
1,253
2,000
Aaah ile mzee ni habari ingine, inatembea 350Kmph si mchezo mzee
Hizi zetu za 140/60KPM Ni techonology ya karne iliyopita......
Installing a 160KPM lining 600KM from dar to Dodoma magically if carrier run to it's upmost speed/160kpm(ignore safety) and non stop(without stopping anywhere in between) it will take 4 hours to reach its destination/Dodoma which isn't that bad, But

Sent using Jamii Forums mobile app
 

KING NH

Member
Aug 3, 2016
45
95
Mi naomba walete treni za maana na nzuri najua watu waliopewa hilo jukumu ni washamba sasa subiri uwo mtungi wa gesi utaoletwa utachoka nafsi yako
 

thisdayes

JF-Expert Member
Oct 28, 2016
3,561
2,000
Ikija kama hiyo mkuu,itakuwa imesaidia sana...safari itakuwa ni fast fast
Hiyo ya India imetengenezwa na ICF Chennai kampuni ya Ki hindi. ICF hawana uzoefu wa kutengeneza madude kama hayo, wenyewe wamezoea kutengeneza zile train za TRL. Hiyo train siyo mbaya ila bado, wa Hindi waendelee kujitengenezea vitu vya kujaribu kwanza kabla hawaja fika viwango. Mtu ambae hajui atakwambia hilo bonge la dude. Kitu kingine watu hawaelewi hizo train za chini ya 180km/hr bei yake siyo ki hivyo tatizo ushamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom