Mwandwanga
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 3,057
- 1,573
Ukitaka kuuza bidhaa yako tangaza kuwa inaongeza nguvu za kiume. utawapata wengi sana.
Jamaa hakufikishi au ...Hapana chezea ndoa itabidi niutafute
Jamaa hakufikishi au ...
Ahahaha! ni ukweli mtupu aisee.Na ukitaka kuharibu jina na bidhaa ya mshindani wako, tangaza inapunguza nguvu za kiume.
magomeni sehemu gani sasa inapatikana hiyo bidhaa?sijaona address hapo wala mawasiliano...
Hapana chezea ndoa itabidi niutafute
Jirani na kwa baba joji / Idrisamagomeni sehemu gani sasa inapatikana hiyo bidhaa?sijaona address hapo wala mawasiliano...
Na kuongeza hamu.Ukitaka kuuza bidhaa yako tangaza kuwa inaongeza nguvu za kiume. utawapata wengi sana.
magomeni sehemu gani sasa inapatikana hiyo bidhaa?sijaona address hapo wala mawasiliano...