johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,933
- 141,899
- Thread starter
- #81
Kwani msaada ni " bure " bwashee?John.
Ni msaada kutoka wananchi wa Japan. Sio fair kushukuru chama na kutoshukuru Japan government...
Kwani msaada ni " bure " bwashee?John.
Ni msaada kutoka wananchi wa Japan. Sio fair kushukuru chama na kutoshukuru Japan government...
Ndesa " boss shuka unisukume gari imezima"Sasa rudisha akili kichwani ukauze dukani kwa mume wa dada ako pale Miomboni maana Lumumba posho za buku 7 zimefutwa rasmi na bashiru.
Tindo hoja kuu ni kuwa kwasasa JPM amekuwa mkali na anataka kuona nchi inasonga mbeleKwahiyo huo ndio mradi wa Kwanza kutekelezwa kwa pesa za. Wajapani?
Kibendera katika Ubora wakeWale wanafunzi waliofaulu lakini wamekatishwa kuendelea na masomo kwa uhaba wa madarasa watakuja kwenye hizo barabara zenye taa na kufanya kazi za machinga.
"Irani iko vema kweri-kweri"
Kukopa ni suala lingine na kuzitumia kwa malengo husika ni Jambo jingineHata Hashim Rungwe asingeshindwa kukopa hela na kujenga barabara, na bila shaka hata vijijini angejenga na pia kumaliza tatizo la maji.
Hata hao Chadema walipewa visima na mfadhili wao Sabodo waliishia kuvifisadi tu hadi yule muhindi akakasirika na kuondoka zake!Kukopa ni suala lingine na kuzitumia kwa malengo husika ni Jambo jingine
Kenya wamekopa dola bilioni 1 kwa ajili ya kupambana na mafua,lakini viongozi wanagawana Kama njugu
Kichaa tu anaweza asijue hela hiyo ilifanya Kazi gani?Wizi tu. Ile hela ya sherehe za uhuru 2015 ilifanya kazi gani?
Kichaa tu anaweza asijue hela hiyo ilifanya Kazi gani?Wizi tu. Ile hela ya sherehe za uhuru 2015 ilifanya kazi gani?
Hakika mkuu!Kichaa tu anaweza asijue hela hiyo ilifanya Kazi gani?
Hii kitu Watanzania wengi hawajui kbs. Maana ile pesa ilitoka kupanua sijui njia hata miaka miwili hajaisha hiyo barabara iloyopanuliwa imefumuliwa tena.Wizi tu. Ile hela ya sherehe za uhuru 2015 ilifanya kazi gani?
Hello.Kukopa ni suala lingine na kuzitumia kwa malengo husika ni Jambo jingine
Kenya wamekopa dola bilioni 1 kwa ajili ya kupambana na mafua,lakini viongozi wanagawana Kama njugu
Tuwashukuru kwani huo msaada wametoa " bure "?Hello.
Si mkopo ni grant unapewa pesa unasema wapi wajenge. Wao hutaka uondoe incumberances zote mabomba au nyumba au tanesco cables....
Kwenye nchi ambayo haimiliki teknologia,haina base kubwa ya walipa kodi haina vyanzo vingi vya kodi nk. Miaka 60 ni michache mnoo kukamilisha mahaba yako.kama USA ilipata uhuru 1776 na ikakamilisha barabara zake 1950's thembuse kwenye nchi changa kama yetu,!! Nyie wa ufipani mtuache.Hata Hashim Rungwe asingeshindwa kukopa hela na kujenga barabara, na bila shaka hata vijijini angejenga na pia kumaliza tatizo la maji.
Miaka ya 60 ya uhuru bado baadhi ya Watanzania wana-share maji na mifugo huku matundu ya vyoo ya shule za watoto wetu ni kwa hisani ya mzungu.
Tindo hoja kuu ni kuwa kwasasa JPM amekuwa mkali na anataka kuona nchi inasonga mbele
ElaHivi unadhani Wajapan wameota tu usingizini kuwa wakatoe ela za kujenga barabara ya Mwenge Tanzania na baada ya kutoka usingizini wakakurupuka kurupu...!kwenda benki na kuchota ela na kuzileta nchini kutekeleza ndoto yao? Tajiri Kichwa 'unaniangusha ujue'!
Msaada huu unalipwa kwa kitu gani ati?Kwani msaada ni " bure " bwashee?
Na wewe wakupe huo msaada wajapani ujenge nyumbani kwenu na Ofisi yenu pale ufipa kinondoni
Pathetic,Kupita kwenye barabara murua kama hizi ndio maendeleo ya watu yanapothibitika.
Nimeona kipande cha Mwenge hadi Sayansi, taa murua kabisa zinafungwa itakuwa safi sana, hongera CCM.
Chadema uchaguzi umekwisha chapeni kazi sasa kutoka Mwenge hadi Ufipa street ni dakika 3 tu.
Maendeleo hayana vyama!