Nimeikubali barabara ya Mwenge - Morocco hakika ilani ya CCM kiboko, Lissu asingeweza haya!

Kupita kwenye barabara murua kama hizi ndio maendeleo ya watu yanapothibitika.

Nimeona kipande cha Mwenge hadi Sayansi, taa murua kabisa zinafungwa itakuwa safi sana, hongera CCM.

Chadema uchaguzi umekwisha chapeni kazi sasa kutoka Mwenge hadi Ufipa street ni dakika 3 tu.

Maendeleo hayana vyama!
Njoo lindi na mtwara hakika utarudi unalia
 
Kupita kwenye barabara murua kama hizi ndio maendeleo ya watu yanapothibitika.

Nimeona kipande cha Mwenge hadi Sayansi, taa murua kabisa zinafungwa itakuwa safi sana, hongera CCM.

Chadema uchaguzi umekwisha chapeni kazi sasa kutoka Mwenge hadi Ufipa street ni dakika 3 tu.

Maendeleo hayana vyama!
Weka picha
 
Back
Top Bottom