Nimeijaribu hii series kumbe ni ya kipuuzi hivi, watu wameipendea nini?

Titicomb,
sasa mzee huoni hiyo money hesit imekuwa rated na watu wachache, hawafikii hata nusu ya walio rate Prison Break? maana kadri kura zinavyokuwa nyingi na maoni ya watu pia yanakuwa tofauti.

By the way hizo rating pia sio fact ni maoni ya watu tu kama ya kwangu na kama hayo niliyoweka hapo juu.
hayo hapo juu kuna mdau nilimuwekea baada ya kudai eti wazungu wanaikubali halafu mimi naipondea nikamuwekea ushahidi kuwa wapo wazungu wanaoipondea pia
 
Yeah upo sahihi, hayo ni maoni ya watu tu kama wewe kwa hivyo kigezo kinakuwa uwingi kwa maana ya uwiano, wengi wape.

Turudi kwenye idadi ya walitoa maoni kwenye Money Heist ni wachache sababu muda uliotumika kukusanya hayo maoni ni mfupi sana na idadi ya seasons walizorusha hewani ni chache, kadiri watakavyo endelea kutoa season nyingi ndivyo watoa maoni wengi zaidi watashiriki. Kuna wengine watakuja kufanya rating hata baada ya miaka mitano ijayo.

Hata filamu za kawaida au muziki ukipata wafutatiliaji wengi kwa muda mfupi ndio rahisi kuingia kwenye rekodi ya mauzo makubwa ndani ya muda mfupi.

Kigezo kingine angalia wakati wa Prison Break kulikuwa na series shindani nyingi ambazo zilikuwa zinanyang'anyana kura(watazamaji) kama wakati wa Money Heist?
 
basi tusubiri hii imalize muda basi ndio tutumie hizo rating. yawezekana prison break ilikuwa hata na 9.2 kipindi kile
Series shindani kipindi hiki sijui kama ni factor sababu prion break ilianza 2005 hadi 2009 kipindi kulikuwa na series za 24, Lost, the sopranos, The west Wing, Dexter, na Breaking Bad
Series kali kipindi hiki cha Money Heist labda ni Game of Thrones
 
Bora uangalie series ya Power kuliko hio Money Heist.
Wa spain action movies hawaziwezi ina production mbovu sana at least ingekua produced hollywood ingekua na ubora zaidi.!
 
Usifananishe Prison Break na izo takataka nyingine..

Prison imetoka the old Era uko ..technology kweny movie bado sio kivile ...Michael atabaki kukumbukwa aise ..tatizo ni shoga tu apo tatizo ..ila Money heist inaingia Mara mia kwa Prison Break..
 
Money Heist ni series nzuri,story imejengeka vizuri

Inawezekana isiwe nzuri zaidi ya prison break.
 
ila uigizaji na plot za kitoto ni nyingi sana. Nilipenda season 3 wale waigizaji wapya, Mama mwenye mimba na kiongozi wa robbers mle ndani. Ni series okay tu, kama ya kikorea.
 
Breaking Bad (2008-2013)
Then come to thanks me
MV5BMjhiMzgxZTctNDc1Ni00OTIxLTlhMTYtZTA3ZWFkODRkNmE2XkEyXkFqcGdeQXVyNzkwMjQ5NzM%40._V1_SY1000...jpeg
 
Back
Top Bottom