Ila kama ni true story, ili uweze kumove on; mfuate Anitha umuombe msamaha kwa kumuumiza na kutotimiza ahadi mlizowekeana and this time it should come from your heart. Maana machozi na simanzi zake zinaweza kuwa the reason ya wewe kutofanya vizuri kwenye relationships.
Wapenzi should be very careful na nini wanachoahidiana mbele ya Mungu, maana Mungu anahonor makubaliano yao na kama hawayamaanishi au hata kujaribu kuyalinda basi unhappiness yaweza turn up to be their cup of tea.
Kitu kingine ninachoweza kuiona ktk story hii ni kuwa ule uhusiano ulikuwa wa kimungu na ndio maana shetani akaingilia kati; maana alijua ndoa ingefungwa basi ile familia ingekuwa institution nzuri ya kiucha Mungu; so the devil brought all those girls n their temptation ambayo
Mentor was too weak to resist. Laiti kama mahusiano yangeinvolve sex and all that is associated with it, huenda temptations zisingekuwepo as shetani ameshajihakikishia kuwa hawa ni wangu so hahitaji nguvu nyingi kuwaharibu na again ndoa isingekuwa ya furaha na amani.