nimeshakuletea hili hapa likariri na uanze kulizoea kisha nawe ufuatishe namna ya kuandika mashairi ila usisahau kuweka vina kila mwisho wa ubeti halafu jaji atakuja kufanya vitu hapa hapa unalingine la kunieleza?
soma hili hapa songi la chitchat 2013 ambalo mshindi apatikana kama yuko serious soma:
1. Ni wakati wa furaha, nderemo na vifijofijo,
wakati wa kujiachia kwa raha zetu,
tukumbukapo huko nyuma tulikotoka na cc jf
viongozi imara walishika hima, kuongoza cc yetu daima
na leo tuko pamoja tukifurahia, uwepo wako na jirani yako
wauonaje best, isingekuwepo chitchat ungemjuaje,
Invisible robot kaza buti mwana, kuimarisha na kuwapa ban
kwa wale wasio na walio wagomvi, wenye kuleta mafarakano
na malumbano yasiyo na msingi wowote, kazi kwako twakupa,
chorus: Tumekuweka mbele yetu, wewe shujaa kiongozi wetu,
endeleza mapambano dhidi ya wale wasumbuao wenzao
huimarishe cc yetu kwa upendo na furaha tele
nasi tufurahi na kuwa pamoja daima x2
2. Rafiki mpendwa wangu wa moyo, niliyekuchagua wewe pekee,
ona jinsi ninavyojitolea kukutumia pm nyingi kwa ajili yako,
Ninaacha kazi na shughuli zangu, nakaa na ipad, laptop yangu,
kukukumbuka na kuchat nawe, kila saa na kila wakati,
nionapo jinalako na avatar yako, macho hujawa na upendo mwingi,
na pale nikuonapo ukinicomment kwenye yangu post,
nabaki kujawa na furaha isiyopimika wala kuwa na mfano.
Napend unapoitikia wito wa kuwa karibu yangu, na kuniona wapekee,
Sina la cha kukulipa basi pokea upendo wangu kwako
Lol ! sasa
ladyfurahia mitihani mingine lazima uanze na tuisheni kwanza, itabidi tukutane unipe tuishen kisha ndio hilo zoezi la kuandika mashairi lianze.
😛opcorn: