Nimeichoka 'Samahani' Yako (sorry is a Sorry Word)

Nimeichoka 'Samahani' Yako (sorry is a Sorry Word)

Pole Mentol but umenichekesha sana na kuhuzunika kidogo yaan kama nilikuwa nakuona

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
hiyo ya kiarabu ipoje? hebu tuambie test yake kama siyo beyond ordinary tuachane nazo
 
oh lord dont let me cheat on my girlfriend as far as i can see she loves only me.... dont let me get cought... MKUU KATIKA KIPINDI HICHO CHOTE ULIKUWA HUPIGI CHEATERS PRAYER KILA ASUBUHI? ndio mana umekamatwa
 
kuna kitu kikubwa sana hapa cha kujifunza kwa pande zote mbili..
hata kama anita angekupa bado usingekubali kutulia
pili bora anita alikubali kukunyima maana bado ungefanyia
upunguani tu

Bro, nicolson, kwa kweli angenipa ningetulia kwake bana! I think ni ile hali ya kukosa from her ndo ikanifanya nikatafute kwingine.

Mentor, story nzuri sana nimejikuta nairudia kuisoma mara 2.

Ila ni kama vile wanaume wengi tunapitia hali kama hiyo ht kama wengi huwa hawakamatwi, mtu ukijaribu kukumbuka wanawake uliotembea nao wakati mwingine mtu hupati picha huu msukumo ulikuwa unatoka wapi!

Asante bwana Zorrander,
Natumai umejifunza mbinu za kuepuka kukamatwa. kwa msaada zaidi tafuta hawa great infii's : Asprin, Kaizer na babu Dark City.

Brother,

'I am not sorry that she is sorry'

I understand bro. But don't you think that is judging me? As in, tell me ni nani asiye na kosa dunia hii? ni vile tu yanatofautiana...utu ni kusameheana tena kama bado unampenda mtu..dah!

Mentor,

Story ya kupendeza, imejaa uhalisia wa maisha ya wanadamu wengi hasa wanaume.

Duh, "I want this taste syndrome" Ya mwarabu ikoje.

Kama inatokea kitu kama hii kwa mtu, inaweza kumfanya akatangaza kustafu hayo mambo kabla ya wakati.

Msemo huo ni kwa hisani ya mdau Wambuzi.. "I want that taste syndrome". Yani ni hulka tu ya mwanaume kutaka kuonja na ile itakuaje? It happened to me kutaka kujua taste ya muarabu kumbe ndo nakosa vyote..ama kweli wahenga hawakosei.

kweli ukicheche wako umekuponza

Sio ukicheche Mtende, mambo ya ujana tu wangu!

"till marriage" sidhani kama ni rahisi kihivyo labda kwa uwezo wa Mungu maana hata enzi za wazee wetu naamini walikuwa wanajikaza kwelikweli...
Rich woman I wish u were there umwambie Anitha hivyo. Ni ngumu sana...
 
Last edited by a moderator:
Pole Mentol but umenichekesha sana na kuhuzunika kidogo yaan kama nilikuwa nakuona

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Du kuna cha kuchekesha kweli hapo Baraka Roman? hebu nishirikishe na mimi??

hiyo ya kiarabu ipoje? hebu tuambie test yake kama siyo beyond ordinary tuachane nazo

Ipo tu kawaida sanaaa....heri uendelee na za kibongo tu bro..

oh lord dont let me cheat on my girlfriend as far as i can see she loves only me.... dont let me get cought... MKUU KATIKA KIPINDI HICHO CHOTE ULIKUWA HUPIGI CHEATERS PRAYER KILA ASUBUHI? ndio mana umekamatwa

Ahahah umenikumbusha ilo songi..ngoja nimwite BAK aje atuwekee hapa: CHEATERS PRAYER na huu niliodediketiwa na Anitha wangu: SORRY IS A SORRY WORD - TARRUS RILEY
 
Last edited by a moderator:
.... kuna Anitha mmoja mzuri kweli ... alikuwa anasoma diploma I think law ni HIV+ sio huyo kweli mrembooo.....!!!
 
Sijui kwa nini MUNGU hakualalisha mb......o ya MBUZI. Nafikiri wengi tunge 'opt' ya mnyama mbuzi kuliko ya mnyama MWANAUME. Ulivyonichefua na hii hadithi yako sijui kwa nn nimeisoma!
 
nimependa stori, imenikumbusha na stori nyingine uliweka hapa ya dada tabata
akakuachia HIV, pia ile ya dada anasomea udaktari muhimbili, ulikutana naye kwenye party
Mentor bwana,,, any way zinaonya
 
kuna kitu kikubwa sana hapa cha kujifunza kwa pande zote mbili..
hata kama anita angekupa bado usingekubali kutulia
pili bora anita alikubali kukunyima maana bado ungefanyia
upunguani tu

Na huyo anitha angeumia zaidi kama angekuwa ana kupa na bado ukafanya hayo!! Swali kwako mentor, hivyo vidumu ulivitua saa ngapi kama ndio ukila unachonga mzinga hivyo, si lazima vilikuwa vinabanana ("overlap") sana?? Wasaloon, wakiarabu sijui wa wapi na anitha hapo hapo!! Kwa kweli anitha angekuwa ana kupa angeumia saaaanaaa!! Bora hata alivyokuwa anakunyimaga loh!!!

Inaelekea baada ya anitha ndio ukaja kumvaa wa madawa, yule wa kwenye story yako ya "mentor utao lini" loh!!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
 
Sio rahisi kuishinda taama ya Uzinifu kwa nguvu za kibinadamu! I was like that till I surrendered my life to Jesus Christ!

Hamu ya ngono ikikushika kabisa all the reasoning dies! Unatembea kama kipofu, the moment you do it, A very strong remorse, regret and a huge guilty inakushika na unaona kila ulichokuwa unafanya was a huge waste of energy, time and resource. Mbaya zaidi ni dhambi kwa Mwenyezi Mungu.
Pretty ugly huh!

It never ends! Only to recur in two weeks time !!!!
If you are planing to put to an end this cheating spree you better surrender your life to Jesus Christ! Hakuna linalo shindikana kwake! Mwambie yeye

Mithali 6;32
 
Sio rahisi kuishinda taama ya Uzinifu kwa nguvu za kibinadamu! I was like that till I surrendered my life to Jesus Christ!

Hamu ya ngono ikikushika kabisa all the reasoning dies! Unatembea kama kipofu, the moment you do it, A very strong remorse, regret and a huge guilty inakushika na unaona kila ulichokuwa unafanya was a huge waste of energy, time and resource. Mbaya zaidi ni dhambi kwa Mwenyezi Mungu.
Pretty ugly huh!

It never ends! Only to recur in two weeks time !!!!
If you are planing to put to an end this cheating spree you better surrender your life to Jesus Christ! Hakuna linalo shindikana kwake! Mwambie yeye

Mithali 6;32
 
.... kuna Anitha mmoja mzuri kweli ... alikuwa anasoma diploma I think law ni HIV+ sio huyo kweli mrembooo.....!!!

It could be...huyo Anitha anaishi wapi sasa? Kama ni kweli lazima nikampe zawadi ya shukrani kwa kunilinda...

Sijui kwa nini MUNGU hakualalisha mb......o ya MBUZI. Nafikiri wengi tunge 'opt' ya mnyama mbuzi kuliko ya mnyama MWANAUME. Ulivyonichefua na hii hadithi yako sijui kwa nn nimeisoma!
madameA jamanii hayo ni makosa binadamu tumeumbiwa. Cha maana siku hizi nimejirekebisha sana nimekua kijana mwema.

Siku hizi na mm sigawi ya kwangu ivi ivi...

nimependa stori, imenikumbusha na stori nyingine uliweka hapa ya dada tabata
akakuachia HIV, pia ile ya dada anasomea udaktari muhimbili, ulikutana naye kwenye party
Mentor bwana,,, any way zinaonya

Thanks atieno nami sitakuambia sana..ila mojawapo kati ya hizo kuna ukweli wangu halisi ndani yake. Try connectng the dots.

Na huyo anitha angeumia zaidi kama angekuwa ana kupa na bado ukafanya hayo!! Swali kwako mentor, hivyo vidumu ulivitua saa ngapi kama ndio ukila unachonga mzinga hivyo, si lazima vilikuwa vinabanana ("overlap") sana?? Wasaloon, wakiarabu sijui wa wapi na anitha hapo hapo!! Kwa kweli anitha angekuwa ana kupa angeumia saaaanaaa!! Bora hata alivyokuwa anakunyimaga loh!!!

Inaelekea baada ya anitha ndio ukaja kumvaa wa madawa, yule wa kwenye story yako ya "mentor utao lini" loh!!

Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Menyous labda angenipa nisingetamani vya nje..labda.

Then again ukishaanza kufanya ayo mambo bwana unakuwa extra creative...sijui nliwezaje bt i managed.
 
Last edited by a moderator:
Hadithi ni ndefu na nzuri, ila imeniboa pale kwenye Man useless....
Wanawake wa namna hiyo huwa ni nadra sana kutokea!,...
 
Hadithi ni ndefu na nzuri, ila imeniboa pale kwenye Man useless....
Wanawake wa namna hiyo huwa ni nadra sana kutokea!,...

Na wewe ni walewale wa man useless nini kaka?

But i agree wit you kumpata anayependa mpira na mnaenda kuangalia wote raha sana bro!
 
Sorry is a sorry word…(inspired by Tarrus Riley)

11[SUP]th[/SUP] March 2012 Sunday:

Nilirudishiwa funguo…na tag imeandikwa, “Sorry is a sorry word”

Your words have no meaning
Cause you continue to do the same thing
Now sorry is a sorry word
Look at all I’ve done for you.
Am sorry that you’re sorry but sorry is not enough for me baby
Am sorry that you’re sorry but sorry can’t dry my tears Mentor…

2010 Mbagala, Kijichi

Ni katika purukushani za kukimbilia daladala..

Nilimaliza chuo 2008 kule Moshi, MUCCoBS. Baada ya kumaliza tu nilibahatika kupata kazi kwenye tawi moja la kampuni moja ya BIMA kule kule Moshi. Nilifanya kazi kule mpaka mwaka 2009 May nikahamishiwa makao makuu ya kampuni huku Dar es salaam.
Kama kawaida unapoanza kazi na ulitoka familia za kiporo asubuhi na ugali chumvi usiku lazima uanze na kushikishwa chuma kila siku. No..sina maana hiyoooo…namaanisha kusimama kwenye daladala.
Nilipata kachumba kamoja kule Kijichi wanapaita njia panda ya Neluka…nisiseme sana majirani wasijenijua. Life was good kwa kweli kwani kama ni kazi nilikuwa nafanya kazi nzuri na I gave my all kwa kazi. Nilipata vijisafari vya mara kwa mara kwenda kwenye branch offices mikoani kiasi kwamba salary yangu ilikuwa inatumika kiasi sana kwa mwezi.

Anyway…

Siku hii nilitoka zangu kazini maeneo ya posta nikaelekea kituoni kuoneshana ubabe. Zilipitapita daladala kadhaa watu wakagombania sana. Nakumbuka siku ile kulikuwa na kamvua kiasi na ubrazameni wangu sikuwa na mwamvuli. Basi katika kuangaza angaza macho nikamuona mdada mmoja..

...Anitha...

She is a queen..royal. Ana sura ya upole. Well behaved. Unusually well adjusted. Every man’s dream girl.

Nilishtuka kwanza kuona sura ile pale stendi. Nilihisi naota. Nikafunga macho mara kadhaa na kufungua tena nikitegemea kutomuona tena nitapofungua macho. She was still there beautiful as ever… hehehe..na alikuwa na mwamvuli! ;-)

Nikajisogeza kimahesabu mpaka nikawa karibu naye. Nikamwambia, “Mambo…Natumai malaika wanajua kiswahili”

At first hakunielewa..ila aliponielewa akatabasamu..now wait a minute! Sio tabasamu la kipashkuna kama kina dada wengine siwataji hapa. Tabasamu lake kama ulikuwa na malaria inaisha. Melting smile..kama ushawahi kusikia.

Anitha: “Hahaha..najua.”

Mentor: “…mhh…aaa..” (honestly hapa siogopi kusema nilipatwa na kigugumizi…)

Mentor: “Naomba lift”

Anitha alikubali tukashare mwamvuli ule na kuanzia pale stori zikaanza..nikajua anafanya field kwenye law firm moja maeneo ya pale pale posta. Anaishi kijichi na dada yake. Tuliongea sana that day tukasahau hata kugombania daladala kwenda home. Ilifika hadi 06:30pm ndo tukagundua muda umekwenda.

Tukagombania pale tukapata vinafasi vya kushikilia chuma walau (wakazi wa G/mboto na Mbagala au Mwenge/Ubungo watanielewa hapa..ukipata nafasi ya kushika tu chuma unajisikia kama umepata seat yani).

Mimi na Anitha

Mahusiano yetu yalikuwa ki-automatically sana mpaka leo sijawahi kuelewa. We just matched and clicked. Mara nyingi tulikuwa tukikutana weekends na tulienjoy sana kuwa pamoja.
Anitha alinipa condition moja ili kuwa naye, ‘No sex till marriage’. I loved her and ofcourse nilikubali bila kipingamizi.

It was easy kwa siku za mwanzo za penzi letu koz maybe ndo nilikuwa nalibembeleza, au ni kweli nilipokuwa naye niliweza kuona beyond the wedding day, au ..au..ila nilikubali!

I must say…now that I think of it, sex is overrated. Nakumbuka the way we used to enjoy life na Anitha. We used to look forward to Fridays so we could be together. Tulienda movies, swimming, we played cards..tubishane weee ali mradi kila mtu awe mshindi au tutoke draw. Tuanze ushabiki wa mpira..mimi Chelsea, yeye Man useless!!!!

Them gone good old days...

Saloon…24 November 2010

Pepo lilianza kuniingia siku nimeenda kunyoa nywele. Wakati yule mdada wa kuniosha anafanya kazi yake tukaanza chit-chat.

Mary: “Vipi unafanya na scrub”

Mentor: “Aa hapana nawahi kupika”

Mary: “Mh! Huna mke?”

Nikamuonesha kidole changu..hata alama ya pete kwa mbali hakina…

Mary: “Mchumba? Girlfriend?”

Mentor: “hapana mrembo sina...”

Mary: “Du! Sasa uzito unapunguzaje?”

Mentor: “Ahahaha..sio siri, ni Revola!”

Mary akacheka baada ya ku-connect the dots..

Mentor: “Au ulitaka kunitua mzigo?”

Mary: “Usijali…ntakupa namba”

Mary akamaliza kuniosha akanikausha nikampa pesa akawa ametoka nje kuchukua chenchi. Nikamfuata huko nikawa nasoma messages tena nakumbuka moja ilitoka kwa Anitha. Aliponipa chenchi akanipokonya na simu akaandika namba yake akajibip.

From there tukaanza kuflirt na nini. Ikabaki kutafuta siku ya kupunguza uzito..Katika mbinu nilizokuwa nazifahamu ikawa moja ya kudanganya kuumwa ofisini na kudanganya safari kwa Anitha. Tena nilimwambia naenda tu branch ya Kibaha so the following day ningekuwa naye. Ijumaa ikafika sikuenda ofisini haooo …sipataji! Basi nikapunguza uzito na kesho yake tukarudi.

Nikakuta Anitha ashafika home anaangalia movie. She had the keys to my place. Tukasalimiana tukakaa tunaangalia ile movie.

Mistake:

Anitha akachukua simu yangu akawa ananipiga picha kiuchokozi tu. Daaamn! Ikanihit…I have pictures of Mary in my phone.!!!! Kunyang’anya nashindwa.
Alipomaliza kupiga kama kawaida akataka tuziangalie wote…previous..previous..previous..mwanaume raha yote na tabasamu lishanipotea…previous…mara kabaaaang!

Anitha alilia sana ile siku…niliomba msamaha hadi machozi. Hakunielewa akaondoka na hasira nikajua ndo nimemkosa Anitha hivihivi. Ilinichukua wiki mbili kuweza tu kupata nafasi ya kuongea na anitha na kumuomba msamaha. Baada ya ahadi nyingi na machozi ya kiume Anitha alinisamehe.
Little did she know huo ndo ulikuwa mwanzo tu wa kupunguza uzito…

Case 2:

Wiki moja tu baada ya kusamehewa..ama kweli kuna tabia ukizianza ni ngumu kuziacha
Rematch na mdada wa saloon..of course hii haikugundulika ndo nikapata courage kuwa nimeanza kubobea. Akilini mwangu nilijua Anitha ndo wife. Haniachi simuachi…pamoja na uhuni wote ila Anitha ndiye!

Case 3, 4, 5, ??...zote hazikugunduliwa

Case 7: Posta..lunch time. Hii mida mibaya sana…

Naingia kwenye kale kamgahawa pale shelly ya posta kabisa pale. Meza zimejaa. Napepesa macho kwenye kona kulee naona meza ina watu watatu. Nikawahi nikakaa pale nikaagiza chakula. Najifanya bize kweli. Mara watu wawili wakanyanyuka kwenye ile meza nikabaki mimi na dada mmoja, Dorah.

Kama kawaida tukawa tunachat huku tukila. Na mengine unaweza kumalizia…
Dorah alikuwa na tatizo moja! Msumbufu mno kwenye simu kila saa anataka kupiga na kujibiwa message. Ilifika hadi Anitha akagundua kuna jambo. Akasikitika sana na mimi nikamuambia ni Dorah mwenyewe ananitaka babes! Akaniambia kama ungemwonyesha humtaki unadhani angeendelea? Au unataka tena yale ya kwenda Kibaha? Nikaona hapa nimeharibu tena. Nikaomba msamaha pale kishingo upande nikasamehewa.

Case 8, 9…Hizi zilikuwa zinasamehewa tu koz hakukuwa na ushahidi wa kutosha. But Anitha never stopped loving me..Hakubadilika wala kupunguza mapenzi. Nikajua nimemweza…hapa hatoki! A few tear drops and I am forgiven.

Ila honestly, everytime nilikuwa najiambia, ‘this is the last time!’ Nafanya hii tu then I go back to loving my Anitha.

Infact, ukishamwaga tu yale maprotein basi raha yote na ile excitement inapotea. Unaona what a waste of time and energy! Sijui kama hii regret ni mimi tu nilikuwa nayo? Yani ukishapiga bao moja tu unaanza kujiuliza, ‘was she really worth all this struggle kweli?’

Kama ambavyo wahenga husema, Mchovya asali hachovyi mara moja na za mwizi arobaini au kamba hukatikia pabaya…au <insert yours here>

Case n[SUP]th[/SUP]…9[SUP]th[/SUP] March 2012, Friday:

Anitha aliniambia kuwa atachelewa kumaliza kazi na angepitiliza home kwani alijisikia kuchoka hivyo angekuja kwangu asubuhi.

Now, kulikuwa na binti mmoja wa kiarabu, Punim, na yeye alikuwa akiishi maeneo ya Mbagala Zakheim. Huyu dada bana nilikuwa nimefukuzia muda mrefu sana. Kabla hata ya kumjua Anitha. Akawa amentolea nje kabisa. Nikawa nimempotezea mazima.

Sasa Hii wiki yote kuanzia 5[SUP]th[/SUP] alianza tu from nowhere kunitafuta. Nikaona isiwe shida let me play along. Si akaniomba series ya Nikita kama ninazo episodes mpya. Nikamwambia ninazo ila zipo home kwenye external hard disk. Akaniambia nikitoka nimpitie twende wote akakopi kwa laptop yake then akaangalizie kwake. Nikakubali.

So mchana nikawa namtania kwangu pako rough akifika asishangae. Akasema anataka aone mpaka chumbani. Mh!

Fast forward to uhondo time..na hii siku hata hatukupata shida ya daladala…very straight..na tukakaa…shetani bana!

Nikafika home kweli nikamkaribisha na a cane of cold redds huku akiendelea kukopi series zake. Mimi wala wasiwasi sina ndo kwanza bebii Anitha ananambia wanafinalize draft sijui ya kesi gani kachoka balaa. And she was anticipating heavy jam barabarani.

Baada ya muda akahitaji kwenda washroom/chooni/maliwatoni..iko ndani ya chumba cha kulala. Akasema ehee tena ndo nikaone na kitanda chako kisichotandikwa. Tukaelekea chumbani. Akachojoa ki-light sweater alichokuwa amevaa na top…mh! Nikajiuliza mkojo gani huu. Akaingia, kutoka akagoma kuvaa kisa joto..akajilaza kitandani huku akiniambia mbona kitanda kimetandikwa vizuri hivyo and its calling. Nikamwambia kiitikie karibu kama unaona kinakuita. Kama mzaha akajinyosha vizuri na visketi mnavyovaaga kwenda kazini mwavijua wenyewe…nikasema potelea mbali kama hakumaanisha hivyo asingentega kiivi.

Now now now..najua humu hakuna under 18..kwani yaliyoendelea sintoyaandika…

Kilichonishtua ni sauti ya mlango ukifungwa kwa nguvu, kubamizwa! Tukashtuka..nikakimbilia mlangoni nikihisi labda mwizi ashaiba anakimbia hivyo. I was shocked kuona mgongo wa Anitha huyo akiondoka kwa haraka mwendo wa nusu kukimbia nusu kutembea..

Kumbe Anitha alirudi na kwa mapenzi tele aliyonayo kwangu alinitumia message kuwa, “baby dada kaniambia hayupo home so nitakuja kwako nikitoka kazini.” Nilikuwa bize nikipunguza uzito..sikuisikia ikiingia labda ningeweza kuokoa penzi langu kwa Anitha. Nikamuacha mpaka akanikuta, akaniona…akashuhudia…live bila chenga.

Nilimkimbilia kumuomba msamaha kwa hasira akaanza kuongea kwa nguvu jinsi gani alivyonipenda na kunithamini lakini nikamtenda kiasi kile. Kwa jinsi gani amenisamehe mara nyingi ila bado sikujifunza..in short she created a scene pale. Akaondoka akilia. Huku nyuma kumbe naye Punim alitoka nje. Ukimuangalia wala hafiki hata robo ya Anitha basi tu ni ile “I want this taste syndrome” ilinisumbua. Ya muarabu ikoje??

From that day majirani wakawa wananicheka wengine wananidhihaki live live yani nikakosa amani…ilipofika mwisho wa mwezi tu nikahama Kijichi nikahamia zangu Kigamboni.

From that day kila nikimkumbuka Anitha najiuliza kama nitaweza kumpata tena binti mzuri aliyeniheshimu na aliyejiheshimu na kunipenda kama yeye.

Msinione bado nipo nipo sana…uhuni wangu uliniponza.

Wasalaam Wapendwa,
Mentor.
hahahahaah pole sana kastory kako nimekapenda kanavutia kusoma isitoshe unajua kupangilia,na bila shaka utakuwa nazo story ngingi sana zenye kuvutia kama hii,kwa mtazamo wangu ulikuwa na matatizo 2 yafuatayo mpaka yamekufikisha ulipo
1.ulimbukeni wa visent ulivyokuwa unapata kazini kwahyo ulikuwa unataman kuonja za tafauti tofauti.
2.inawezekana ukumpenda anitha na ndyo maana ulikuwa unafanyia kwako ili iwe sababu ya yeye kukuacha japokuwa na yeye alikuwa kin'gang'anizi mwenye pendo la dhat kwako.kwahyo umetembea umeona hakuna mwanamke kama yeye kwa dunia ya sasa ndyo maana umekuja hapa,
ok ni ivi hilo tukio lako limewatokea wanaume wengi tu na wanawake wengi wameumizwa kwa staili hiyo lakini kikubwa kama kweli umeamua kutulia rudi kwa anitha serious, wanawake wengi huwa wanasamehe atakusamehe tu shirikisha na wazee
 
Nashukuru sana kaka...tafadhali wazee nawaita huku mkanisaidie kuomba msamaha kwa Anitha, nampenda na nilimpenda kutoka moyoni. Niliyofanya yalikuwa mambo ya ujana tu.
Wazee Dark City, Asprin, Kaizer, watu8, Baba V, AshaDii, gfsonwin, cacico MziziMkavu Rutashubanyuma, Ruttashobolwa et al tafadhali njooni mnisaidie..
 
Last edited by a moderator:
Natamani sana nikusaidie kaka mkubwa, ila watu8 ana maneno matamu sana na yatamfanya Anitha asitishe uamuzi wa kukurudia na atajikuta anataka aambatane na yangu maneno.

Back
Top Bottom