Nimeichoka 'Samahani' Yako (sorry is a Sorry Word)

Nimeichoka 'Samahani' Yako (sorry is a Sorry Word)

umenifanya nicheke kwa comment yako bestito kwaaa kwaaa kwaaa kwaaaa
hii hadithi imenifanya nitabasamu kwa vitu 2:
1) imenikumbusha story ya "till marriage" na jinsi ambavyo wakaka wanakubali kwa huyo wampendaye kuwa watavumilia na kusubiriana, yet hawawezi. wanaishia kupunguza uzito kwa jirani huku wanasubiria "the big day"..... na mara nyingi huwa wanabambwa.... hii ilishawahi kunikuta na huyo mtu pia nilimmwaga, I couldn't take it.
2) wakaka wanavyojua kusifilia mdada aliyemwingia moyoni! kumbe hii talent ya wakaka wote? yaani utakuta anavyomsifia huyo mdada utafikiri hakuzaliwa, i.e. alishushwa na Malaika, kutana naye sasa, utachoka.
 
Mentor
kaka ni mara nyingine I have to declare that you are a great story teller
Nimefika katikati tu ya story lakini I had to say this first...
sasa ngoja niendelee...
 
Last edited by a moderator:
tehe tehe wadada mnapotupa jaribu la sex till marriage mjue mnakaribisha uvunjifu wa uchumba.
 
ni story ya kuvutia na yenye mafunzo pia..na haka ka techniki ka sio lazima to do mpaka sijui nini eti ni mtihani mzito kwa vijana with this digital life eti, utasubiri sanaa na kumbe mdada wa watu wala alikuwa anakudere tu ujikaange mwenyewe
 
Wise people who are very few learn from the mistake of others; wengi wetu ni mpaka yatukute na sisi.
Sintasahau maneno ya kaka yangu kamwe ".........Kaunga kuna muda wa kujuta....."

nafikiri wako ndio huo; lkn wanasemaje? Kisichokuua kinakufanya uwe shupavu, so acha past iwe past na itendee present wema ili future yako isijazwe simanzi za majuto.
 
FP I wish ungemuona Anita...she is the real deal! yani...dah! usiniongezee machungu. Hiyo like nimekupa kwa point namba 1.

Kaunga napenda sana ushauri wako...it takes time to heal though...ila ni kweli usemayo since it hasn't killed me ts got to make me stronger!
thanks.
ladyfurahia punguza munkari yf we ndo mamaa wa nyumbani...
Chimunguru, spot on bro! ilikuwa adhabu. Ila nilianza kuiona baada ya kuanza kuonja asali nje..mwanzoni all was well...love prevailed!
Prisoner 46664 thanks bro! ts bones hidden in the closet...
 
Last edited by a moderator:
FP I wish ungemuona Anita...she is the real deal! yani...dah! usiniongezee machungu. Hiyo like nimekupa kwa point namba 1.

Kaunga napenda sana ushauri wako...it takes time to heal though...ila ni kweli usemayo since it hasn't killed me ts got to make me stronger!
thanks.
ladyfurahia punguza munkari yf we ndo mamaa wa nyumbani...
Chimunguru, spot on bro! ilikuwa adhabu. Ila nilianza kuiona baada ya kuanza kuonja asali nje..mwanzoni all was well...love prevailed!
Prisoner 46664 thanks bro! ts bones hidden in the closet...
unafikiri siamini kama alikuwa "real deal" kwako? naamini kabisaaaaaaaa. nafurahigi tu wakaka mnavyokaa kusifia aliyekuingia. si ajabu wakaka wengine wakikutana na huyo Anitha wataona ni wakawaida tu
 
hili suala la kusubir kupewa nyapu mpk pete kidolen linatushinda bana.
mm naona mwenye kosa ni anitha,kwani siangekupa tu ili akupunguzie mauzito,mpk wenzake wametake advantage
so sad
 
hahahaha braza Mentor wewe huelewi signature ya Smile inamaanisha nn........teh teh teh
 
Last edited by a moderator:
Zali la Mentali, nimetokea kwetu mimi uhindini na taxi, nikakutana na Mentor aka bange mtu mida ya lunch akanishangaa bila kunikaribisha... kumbe alikuwa na mawazo ya anitha,
Anitha, Anitha wa Mentor we sukuma sukuma ili siku ziende umsamehe na kumrudia Mentor loooh
Nakusaidia kukuombea msamaha kwa Anitha best ili urudi kawaida naona umebanwa na msongo wa mawazo pole sana, ukiwaza hivyo nikitaka kupiga ganja ntapiga na nani bana?
 
Last edited by a moderator:
Anitha anitha umeondoka nyumbani, umeniachia masikitiko anitha wa mamaaa x2
Anitha aa anithaa umeondoka nyumbani, umeniachia masikitiko anitha wa mamaaa x2
 
Back
Top Bottom