bestito nimekukumbuka sana ulipotelea wapi wee ni kazi nyingi nini? nakukaribisha kwenye shindano la kumsaka mwimbaji msanii bora wa chitchat 2013 hivyo uwepo na ushiriki wako ni muhimu sana andika wimbo wako hapa ili majaji wafanye kazi yao kudadavua huo wimbo na kisha uingie 5 bora za chitchat 2013 anza sasa na karibu leo tupo hapa pub tarehe 6/7/2013 kwenye tamasha hilo wimbo maalum wa chit chat huu hapa ni vyema ukaukariri soma hapa:
1. Ni wakati wa furaha, nderemo na vifijofijo,
wakati wa kujiachia kwa raha zetu,
tukumbukapo huko nyuma tulikotoka na cc jf
viongozi imara walishika hima, kuongoza cc yetu daima
na leo tuko pamoja tukifurahia, uwepo wako na jirani yako
wauonaje best, isingekuwepo chitchat ungemjuaje,
Invisible robot kaza buti mwana, kuimarisha na kuwapa ban
kwa wale wasio na walio wagomvi, wenye kuleta mafarakano
na malumbano yasiyo na msingi wowote, kazi kwako twakupa,
chorus: Tumekuweka mbele yetu, wewe shujaa kiongozi wetu,
endeleza mapambano dhidi ya wale wasumbuao wenzao
huimarishe cc yetu kwa upendo na furaha tele
nasi tufurahi na kuwa pamoja daima x2
2. Rafiki mpendwa wangu wa moyo, niliyekuchagua wewe pekee,
ona jinsi ninavyojitolea kukutumia pm nyingi kwa ajili yako,
Ninaacha kazi na shughuli zangu, nakaa na ipad, laptop yangu,
kukukumbuka na kuchat nawe, kila saa na kila wakati,
nionapo jinalako na avatar yako, macho hujawa na upendo mwingi,
na pale nikuonapo ukinicomment kwenye yangu post,
nabaki kujawa na furaha isiyopimika wala kuwa na mfano.
Napend unapoitikia wito wa kuwa karibu yangu, na kuniona wapekee,
Sina la cha kukulipa basi pokea upendo wangu kwako
By
Mnama