Nimeibiwa simu, utakayeinunua nalala na wewe mbele, labda isiwashwe daima

Nimeibiwa simu, utakayeinunua nalala na wewe mbele, labda isiwashwe daima

Hivi mke mwenye msambwanda ulipata? Kama ulipata basi yeye ndy mhusika, vipi na ile baiskeli uliuza? Kama ndy nunua itel ya 140000 kwa kuzugia, ila pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako mtoa mada unataka tisha watu
Jua hao wezi si wajinga kiasi hicho
Watu wakiiba iphone wanaenda ichinja
Wanatoa vifaa vyote wanakuachia motherboard tu sasa nenda kaitrack
soma thread ndo ucomment...nimeeleza kilichotokea na hatua ninazochukua. hilo neno "kutisha watu" ni msamiati wako...sorry
 
sio ustarabu member mwenzetu kapata tatizo tunapaswa tumfariji au ataushirikiano ikibifi.maana kuibiwa kama ajali aina mmoja
 
Hivi mke mwenye msambwanda ulipata? Kama ulipata basi yeye ndy mhusika, vipi na ile baiskeli uliuza? Kama ndy nunua itel ya 140000 kwa kuzugia, ila pole sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
baskeli nilikuwa namfanyia mtu tangazo...sio kila kitu mtu anachouza ni chake...either mwingine hana JF account etc. pia kwa kutafuta mke/mchumba ni hivyo hivyo.
 
Ukome kulala kama umekufa, watajakukufanya vibaya mkuu, kawatafute wapiga mbizi mkuu maana inaelekea kibegi chenyewe hata hawakukagua ndani kimedumbukizwa baharini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wall come town

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Kama hiyo simu itafika kwa mtu mwenye uelewa mpana wa mambo ya teknolojia nakuhakikishia huwezi ipata hata kwa msaada wa TCRA.
 
Usiku wa kuamkia leo, nikiwa nimetembelea ndugu zangu Tungi, Kigamboni, tumeamka asubuhi na kukuta begi langu halipo...alifungua dirisha kwa kitu cha chuma na kutoa loki ya dirisha. Ndani ya begi kuna Simu (sitataja ni aina gani kwsababu maalumu), vitambulisho 8 (kadi za benki 4, kadi za mifuko ya kijamii 3 na kitambulisho cha mpiga kura), nyaraka mbalimbali za kiofisi.

Tayari nimechukua RB kituo kikuu cha polisi kigamboni...na mimi kwa ushirikiano na wenzangu, tayari tracking ya simu imeanza, haijalishi utaflash au kutoa laini but as long as iko ON, tukifika ulipo wewe ndio utatupeleka kwa aliyekuuzia, na yeye atupeleke alipopleka vitu vingine. Kisha taratibu zingine za kisheria zitaendelea. OVA.

Alex Yesaya.
Hiyo simu utaipata tu mkuu. Niliwahi kuibiwa simu,polisi walinisaidia kui-track na kumpata mwizi. Japo unapaswa kuvuta subira manake kufanikisha miadi ya kukutana na mwenye simu yako huchukua wiki kadhaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda ume umefunga tracking chip.. Otherwise kwa wajuzi imekula kwako.

Sent from my Nokia ya Tochi using JamiiForums Mobile app
 
sio ustarabu member mwenzetu kapata tatizo tunapaswa tumfariji au ataushirikiano ikibifi.maana kuibiwa kama ajali aina mmoja
yeye mwenyew hajataka faraja wala msaada ametoa tu taarifa na mkwara amesahau FBI walishindwa kutrack iPhone ya mtuhumiwa
 
Back
Top Bottom