gubegubekubwa
JF-Expert Member
- Jun 9, 2008
- 685
- 966
MKUU utanunuaje sim ya 1.7M huku unakaa nyumba ya kupanga akili yako inakusaidia kweli?Wakuu nimeibiwa simu mpya kabisa . Yani siku nimeinunua usiku ikaibiwa. Ni simu ya 1.7m. Siwezi sema ni aina gani mana uyo mwizi anaweza kuwa humu.
Naombeni ushauri nifanyeje ili niipate. Polisi nimeisha enda kwa kitengo cha cyber crime na pesa ya maji nimewapa ili wanitaftie, ila wananizungusha mpaka sasa.
Nimetenga 300,000 kwa atakayenisaidia kumpata huyu mwizi coz kanipiga hata pesa.( Laki nane)
Wakuu nimeibiwa simu mpya kabisa . Yani siku nimeinunua usiku ikaibiwa. Ni simu ya 1.7m. Siwezi sema ni aina gani mana uyo mwizi anaweza kuwa humu.
Naombeni ushauri nifanyeje ili niipate. Polisi nimeisha enda kwa kitengo cha cyber crime na pesa ya maji nimewapa ili wanitaftie, ila wananizungusha mpaka sasa.
Nimetenga 300,000 kwa atakayenisaidia kumpata huyu mwizi coz kanipiga hata pesa.( Laki nane)
Hata hayaendani. Mimi nimesema wapi atakayeiona aniambie. Mi nataka mtu anayejua jinsi ya kutrack sm ilyoibiwa. Kwa maelzo nilyotoa anayefahamu amesha nielewa. Kama hujui kaa kushoto.You sound like this:
"nimeibiwa gari langu la gharama ila sitaki kusema ni la aina gani ila niasidieni kulipata na kwa atakayeliona aniambie"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Umemjibu vizuri. Alfu watu wa humu jf sijui huwa wanafikiri members wanalingana kipato?Inawezekana ikawa kweli siwazi kesho, Ila kwa upande wako una mawazo ya kimasikini sana!
Kama kwako simu ya 1.7m ni ghali sana kiasi unaithamanisha na mifuko ya sementi au tofali kwa wengine ni kifaa tu chenye ubora kwa matumizi binafsi.
Pia wakati wewe bado unahangaikia basic needs (chakula, mavazi & malazi) kuna ambao wameshaipita hiyo hatua!!
Zipo nying ndyo ila nenda kwenye official dealer wa samsung apa bongo uone kama utaipata.Samsung s8? Mbona zipo nyingi tu? Je ulifungua samsung account? Kama ulifungua itakua rahisi kuipata.
Polisi kwa kushirikiana na TCRA wataipata km imei zinajulikana vumilia hakuna option nyingine huo mtambo wa TCRA ndiyo kazi yake 'ila mmm hiyo amount inatosha kununua kiwanja'Wakuu nimeibiwa simu mpya kabisa . Yani siku nimeinunua usiku ikaibiwa. Ni simu ya 1.7m. Siwezi sema ni aina gani mana uyo mwizi anaweza kuwa humu.
Naombeni ushauri nifanyeje ili niipate. Polisi nimeisha enda kwa kitengo cha cyber crime na pesa ya maji nimewapa ili wanitaftie, ila wananizungusha mpaka sasa.
Nimetenga 300,000 kwa atakayenisaidia kumpata huyu mwizi coz kanipiga hata pesa.( Laki nane)
mkuu ile Galaxy s8 yako wamekula nayo kona pole sanaWakuu nimeibiwa simu mpya kabisa . Yani siku nimeinunua usiku ikaibiwa. Ni simu ya 1.7m. Siwezi sema ni aina gani mana uyo mwizi anaweza kuwa humu.
Naombeni ushauri nifanyeje ili niipate. Polisi nimeisha enda kwa kitengo cha cyber crime na pesa ya maji nimewapa ili wanitaftie, ila wananizungusha mpaka sasa.
Nimetenga 300,000 kwa atakayenisaidia kumpata huyu mwizi coz kanipiga hata pesa.( Laki nane)
Nimeikamata janamkuu ile Galaxy s8 yako wamekula nayo kona pole sana
Afadhali mungu mkubwaNimeikamata jana
Umeikamata vipi mkuu??Nimeikamata jana
Ni PM namba yako mkuu nikupeleke kwa babu yangu bagamoyo....inarudii ndani ya SKU mbilii....trust me....narudiaa tenaa itarudii twenzetu kwa babu
Mkuu uwe unasoma thread vizuri, Mtoa mada nia yake aipate simu yake, sio kui-lock isitumikeWasiliana na TCRA ukiwa na imei za simu yako ili waifungie isiweze kutumia popote
Cjaelewa point yako ni nini hasa.Umeikamata vipi mkuu??
Nadhani ndio hii kama ni kweli ulivyoleta mrejesho wa kuinunua, nadhani ni used one
Ni kuwa hii simu walikuwa wakiitrack polisi. Ila kwa muda ilikuwa bado haijawa detected maana line haikuwa imewekwa. Hi simu imekamatwa kwa receiver. Yan wale wanaonunua simu za wizi na kuziingiza sokoni. Hawa watu wapo makini sana. Huwa hawaweki line kwenye simu. Wanasubiri mnunuzi ndye aweke line yake so incase ya kukamatwa, akamatwe aliyeinunua.Afadhali mungu mkubwa
Ila wape wanajukwaa ushuhuda ulivyoikamata