Nimeibiwa simu mpya, Nifanyeje ili niipate?

Nimeibiwa simu mpya, Nifanyeje ili niipate?

sasa nimeona umuhimu wa IPHONE na hasara za ANDROID. asante mleta mada nimepata chaguo sahihi sasa.
 
sasa nimeona umuhimu wa IPHONE na hasara za ANDROID. asante mleta mada nimepata chaguo sahihi sasa.
Hasara ya iphone ni kuwa simu yako ukiilock kwa icloud na ikashindikana kufunguka. Wajanja wanaifanya spea. Yan watauza screen, battery, na vifaa vidogo vidogo na wanakuachia main board.
 
WE NAEEEEEEEEEEE SASA UMEIZOEA SAA NGAPI NA UMEINUNUA TU USIKU IKAIBIWA!
au ulianza kuitumia ikiwa dukani?
hahahaha mwalimu umemshika huyo....hayo ndio matatizo ya kutunga story
 
hahahaha mwalimu umemshika huyo....hayo ndio matatizo ya kutunga story
Huu ndyo mwisho wa uwezo wa kufikiria kwa yeyote aliyefanywa msukule wa CCM.

SOMA UZI UPYA UELEWE. HACHA KUKURUPUKA KAMA MAGUFONGO.
 
Back
Top Bottom