Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,691
- Thread starter
- #41
HahaaaWadai pesa zako hao polisi na achana na hizo habari
HahaaaWadai pesa zako hao polisi na achana na hizo habari
S6 unajua ina ram ya ngapi, s7 je nayo? Unadhani cm zenye ram ya 4gb zimekuja leo?WE NAEEEEEEEEEEE SASA UMEIZOEA SAA NGAPI NA UMEINUNUA TU USIKU IKAIBIWA!
au ulianza kuitumia ikiwa dukani?
Yeye keshajenga hawazii kiwanja au tofali kwa sasa!Aseeh pole sana 1.5 ni KIWANJA icho na TOFALI kadhaa,wamekurudisha nyuma kwa kweli,.. Wahalifu wakamatwe na sheria ichukue mkondo wake,
Yeye keshajenga hawazii kiwanja au tofali kwa sasa!
mi huko sijafika kwenye ram sijui rim!S6 unajua ina ram ya ngapi, s7 je nayo? Unadhani cm zenye ram ya 4gb zimekuja leo?
Mkuu hata kwa iyo cm inawezekana tatizo kaisha flash simu. Kufanya ivyo ni mpaka niwasiliane na samsung waitfte kwa kutumia warantee kadi. Tatizo iyo cm ilikuwa haijaanza kuuzwa tz. Sasa watu wa samsung wanasema haiwezi apply kwa tz hiv sasa
Ni PM namba yako mkuu nikupeleke kwa babu yangu bagamoyo....inarudii ndani ya SKU mbilii....trust me....narudiaa tenaa itarudii twenzetu kwa babu
Wapi huko mkuu Kiwanja 1.5mAseeh pole sana 1.5 ni KIWANJA icho na TOFALI kadhaa,wamekurudisha nyuma kwa kweli,.. Wahalifu wakamatwe na sheria ichukue mkondo wake,
Wapi huko mkuu Kiwanja 1.5m
Upo!??Mlozi kazini
Mkuu hata kwa iyo cm inawezekana tatizo kaisha flash simu. Kufanya ivyo ni mpaka niwasiliane na samsung waitfte kwa kutumia warantee kadi. Tatizo iyo cm ilikuwa haijaanza kuuzwa tz. Sasa watu wa samsung wanasema haiwezi apply kwa tz hiv sasa
Inawezekana ikawa kweli siwazi kesho, Ila kwa upande wako una mawazo ya kimasikini sana!Hongera yake,..ila kuna asset nying za kununua impe security zaidi sio simu,..ilo wazo lako ni from typical woman ambae afikirii kesho,..hilarious
Inawezekana ikawa kweli siwazi kesho, Ila kwa upande wako una mawazo ya kimasikini sana!
Kama kwako simu ya 1.7m ni ghali sana kiasi unaithamanisha na mifuko ya sementi au tofali kwa wengine ni kifaa tu chenye ubora kwa matumizi binafsi.
Pia wakati wewe bado unahangaikia basic needs (chakula, mavazi & malazi) kuna ambao wameshaipita hiyo hatua!!
....Pole, hiyo laki tatu better uitumie kununua simu nyingine, maisha yaendelee kuliko kuongeza tena lossWakuu nimeibiwa simu mpya kabisa . Yani siku nimeinunua usiku ikaibiwa. Ni simu ya 1.7m. Siwezi sema ni aina gani mana uyo mwizi anaweza kuwa humu.
Naombeni ushauri nifanyeje ili niipate. Polisi nimeisha enda kwa kitengo cha cyber crime na pesa ya maji nimewapa ili wanitaftie, ila wananizungusha mpaka sasa.
Nimetenga 300,000 kwa atakayenisaidia kumpata huyu mwizi coz kanipiga hata pesa.( Laki nane)