Zero Hours
JF-Expert Member
- Apr 1, 2011
- 12,942
- 18,691
- Thread starter
- #21
Mkuu hata kwa iyo cm inawezekana tatizo kaisha flash simu. Kufanya ivyo ni mpaka niwasiliane na samsung waitfte kwa kutumia warantee kadi. Tatizo iyo cm ilikuwa haijaanza kuuzwa tz. Sasa watu wa samsung wanasema haiwezi apply kwa tz hiv sasaitakuonesha location hat akiwa amefukia chini
kwa iphone rahisi sana yaan ukimkarbia tu inaanz kupiga kelele hata awe kazima