Nimeibiwa simu mpya, Nifanyeje ili niipate?

Wakuu nimeibiwa simu mpya kabisa . Yani siku nimeinunua usiku ikaibiwa. Ni simu ya 1.7m. Siwezi sema ni aina gani mana uyo mwizi anaweza kuwa humu.

Naombeni ushauri nifanyeje ili niipate. Polisi nimeisha enda kwa kitengo cha cyber crime na pesa ya maji nimewapa ili wanitaftie, ila wananizungusha mpaka sasa.

Nimetenga 300,000 kwa atakayenisaidia kumpata huyu mwizi coz kanipiga hata pesa.( Laki nane)
MKUU utanunuaje sim ya 1.7M huku unakaa nyumba ya kupanga akili yako inakusaidia kweli?
 
Wakuu nimeibiwa simu mpya kabisa . Yani siku nimeinunua usiku ikaibiwa. Ni simu ya 1.7m. Siwezi sema ni aina gani mana uyo mwizi anaweza kuwa humu.

Naombeni ushauri nifanyeje ili niipate. Polisi nimeisha enda kwa kitengo cha cyber crime na pesa ya maji nimewapa ili wanitaftie, ila wananizungusha mpaka sasa.

Nimetenga 300,000 kwa atakayenisaidia kumpata huyu mwizi coz kanipiga hata pesa.( Laki nane)

You sound like this:

"nimeibiwa gari langu la gharama ila sitaki kusema ni la aina gani ila niasidieni kulipata na kwa atakayeliona aniambie"
 
Maelezo yako hayajitoshelezi mkuu inakua ngumu kusaidiwa. Muhimu kufahamu model, je uliswitch on au iliibiwa tayari ikiwa na chip? Ina inbuilt antitheft app ama? Kifupi maelezo yako hayajitoshelezi
 
You sound like this:

"nimeibiwa gari langu la gharama ila sitaki kusema ni la aina gani ila niasidieni kulipata na kwa atakayeliona aniambie"
Hata hayaendani. Mimi nimesema wapi atakayeiona aniambie. Mi nataka mtu anayejua jinsi ya kutrack sm ilyoibiwa. Kwa maelzo nilyotoa anayefahamu amesha nielewa. Kama hujui kaa kushoto.
 
Inawezekana ikawa kweli siwazi kesho, Ila kwa upande wako una mawazo ya kimasikini sana!

Kama kwako simu ya 1.7m ni ghali sana kiasi unaithamanisha na mifuko ya sementi au tofali kwa wengine ni kifaa tu chenye ubora kwa matumizi binafsi.

Pia wakati wewe bado unahangaikia basic needs (chakula, mavazi & malazi) kuna ambao wameshaipita hiyo hatua!!
Umemjibu vizuri. Alfu watu wa humu jf sijui huwa wanafikiri members wanalingana kipato?

siku zote yule ambaye hajui kutumia pesa hata kutafta pesa hajui. Ndyo maana nasema anamawazo ya kimasikini.

Yeye anawaza kununua kiwanja cha 1.5 wenzake wanawaza kununua r.estate ya 1.5b.
 
Wakuu nimeibiwa simu mpya kabisa . Yani siku nimeinunua usiku ikaibiwa. Ni simu ya 1.7m. Siwezi sema ni aina gani mana uyo mwizi anaweza kuwa humu.

Naombeni ushauri nifanyeje ili niipate. Polisi nimeisha enda kwa kitengo cha cyber crime na pesa ya maji nimewapa ili wanitaftie, ila wananizungusha mpaka sasa.

Nimetenga 300,000 kwa atakayenisaidia kumpata huyu mwizi coz kanipiga hata pesa.( Laki nane)
Polisi kwa kushirikiana na TCRA wataipata km imei zinajulikana vumilia hakuna option nyingine huo mtambo wa TCRA ndiyo kazi yake 'ila mmm hiyo amount inatosha kununua kiwanja'
 
Pole sana mkuu lakini hata kama ukiifungia ndio tayari ushapigwa hivyo na watu siku hizi wapo makini sana
 
Nenda polisi ukachukue loss report then nenda tcra ili wajue laini gani imepachikwa inayotumua imei namba ya simu yako na hapo mdo utamjua mbaya wako
 
Wakuu nimeibiwa simu mpya kabisa . Yani siku nimeinunua usiku ikaibiwa. Ni simu ya 1.7m. Siwezi sema ni aina gani mana uyo mwizi anaweza kuwa humu.

Naombeni ushauri nifanyeje ili niipate. Polisi nimeisha enda kwa kitengo cha cyber crime na pesa ya maji nimewapa ili wanitaftie, ila wananizungusha mpaka sasa.

Nimetenga 300,000 kwa atakayenisaidia kumpata huyu mwizi coz kanipiga hata pesa.( Laki nane)
mkuu ile Galaxy s8 yako wamekula nayo kona pole sana
 
Nimeikamata jana
Umeikamata vipi mkuu??
Nadhani ndio hii kama ni kweli ulivyoleta mrejesho wa kuinunua, nadhani ni used one

18c6fbfcc07332527be8df3d0ef51a48.jpg
a7db8981566f05ba4f477bcc28de7cd0.jpg
 
Afadhali mungu mkubwa
Ila wape wanajukwaa ushuhuda ulivyoikamata
Ni kuwa hii simu walikuwa wakiitrack polisi. Ila kwa muda ilikuwa bado haijawa detected maana line haikuwa imewekwa. Hi simu imekamatwa kwa receiver. Yan wale wanaonunua simu za wizi na kuziingiza sokoni. Hawa watu wapo makini sana. Huwa hawaweki line kwenye simu. Wanasubiri mnunuzi ndye aweke line yake so incase ya kukamatwa, akamatwe aliyeinunua.

So jana hii simu ilpata mnunuzi na skaweka line yake. Hapo hapo ikawa detected na haikuwa kazi kuipata maana internet ilkuwa on so ikatuma location ilipo fasta. Ndpo hapo hapo askari kwenda na kufika kukuta mnunuzi akimuesabia laki 9 muuzaji.
 
Back
Top Bottom