Habarini wana Jamvi,kwa faida ya wote na wengine Leo nitafunguka Jinsi nilivyo ibiwa Laki Mbili na Nusu yangu na watu hapa watanishauri nifanye nini au tunaweza saidiana Kumkamata huyu Mwizi! kwa faida ya wengine nitaomba Uongozi wa Jamii Forum Uache huu uzi hapa ili watu wajifunze na wajue ili wawe makini, nitasimlia kila kitu na nitaweka ushahidi hapa
Mimi ni mmoja ya watu wanao tumia sana Application ya Kupatana katika kununua vitu,Siku za hivi karibuni niliona kitu cha ajabu kupitia kupatana niliona mtu anapost anauza vitu vya gharama kwa bei nafuu,Cha kwanza nilicho kutana nacho niliona akitangaza kuuza laptop Mackbook Pro,500 HDD,8GB RAM,CORE i7 kwa laki 2.5,pia laptop nyingine Mackbook ila ilikuwa na 1Tb hard disk kwa laki 4.5,nilishangaa na wala sikuamini amini nikaamua kumtafuta kwa kumcondact kupitia namba alizo ziweka Kupatana nikamtext akajibu,nikamuliza unauzaje hio laptop akaniambia laki 2.5 sikuamini nikarudia tena akajibu vile vile,nikamwambia nitumie picha akanitumia picha,nikamwambia wewe uko wapi akasema yeye yupo Njombe ludewa na nje ya biashara hii yeye ni askari!
Baada ya hapo niliamua kumtext whatsap ndipo alipo niambia kua yeye ni askari na anafanya biashara ya vitu hvyo na kunitumia vitambulisho vyake
Hapo Nikawa na inamani kidogo ila wasi wasi wangu ulikuwa ni kwanini auze vitu vya gharama kwa Bei rahisi hivi? sikutilia maanani sana nikasema labda ni mtu mwenye shida ya haraka na pesa
Inaendelea