Kichwa Ndio Mtu
JF-Expert Member
- Jan 17, 2014
- 3,079
- 1,719
asante kwa kunitusi mkuu nakuombea usiibiwe wala kutapelia siku zote uwe mjanja tu
Wakuu, naleta kwenu hili ili nipate uzoefu na namna ya kujikinga isitokee tena.
Ni hivi, nina nyumba yenye ukuta wa kozi saba kote na geti na ninaishi mimi na wife tu ndani kuna vyumba viwili havikaliwi na mtu. Sasa naamka nakuta flat sceen na remote yake haipo na mlango mkubwa uko wazi wakati kabla ya kulala niliufunga nakumbuka.
Jamaa karuka ukuta, kachana nyavu ya dirisha, kachukua funguo kafungua mlango kaingia sebleni kawasha taa kazunguka room zote manake nimekuta pamepekuliwa na mashuka yametanduliwa kama alikua anatafuta kitu isipokua chumba nilicholala mimi tu na taa kawasha cha ajabu kabeba hiyo tv na remote yake tu pamoja na raba zangu zilizokua mlangoni nje na kuacha vitu kibao vya thamani ambavyo vilikua wazi tu.
Baada ya hapo katoka na funguo kafungua geti then funguo kazitupa mlangoni. Naamka sioni tv, kuchek mlango umerudishiwa tu kuzunguka nje nakuta funguo zangu ziko nje zimetupwa ikanibidi nicheke tu na kushukuru Mungu.
Katika mazingira ya kawaida sio rahisi mimi na wife kulala hivi lazima kuna ujanja wamefanya hebu tupeane uzoefu na namna ya kujikinga na hizi mambo jamani manake ni hatari sana.
Mambo ya bongo watu wanmadawa ya kulevya ya spray wanakupulizia kupitia dirishani baada ya dk kumi hivi waingia kama kwao vile huwezi hata kushtuka unakuwa kama umezimia hivi
chakufanya
ukilala hakikisha una chombo kilicho na maji na kiwe wazi kama jagi hivi pana kiasi
maji huweza kusharabu sumu hiyo na kuipunguza kwa kiasi kikubwa sana kiasi kwamba wewe na waliomo ndani si rahisi kusinzirishwa kwa sumu hiyo,
swali zaidi kama unalo
Juzi tupo msibani dodoma tukaibiwa nyumba nzima yaani mwizi kama kwake kaingia chumba hiki kasachi kila mmoja kasomba,kaingia kwingine kasachi imagine watu wanavyolala wengi msibani na kwa kugusana mtu aingie chumba kwa chumba mtu kwa mtu na hakuna hata mmoja aliyeshtuka
Wakuu, naleta kwenu hili ili nipate uzoefu na namna ya kujikinga isitokee tena.
Ni hivi, nina nyumba yenye ukuta wa kozi saba kote na geti na ninaishi mimi na wife tu ndani kuna vyumba viwili havikaliwi na mtu. Sasa naamka nakuta flat sceen na remote yake haipo na mlango mkubwa uko wazi wakati kabla ya kulala niliufunga nakumbuka.
Jamaa karuka ukuta, kachana nyavu ya dirisha, kachukua funguo kafungua mlango kaingia sebleni kawasha taa kazunguka room zote manake nimekuta pamepekuliwa na mashuka yametanduliwa kama alikua anatafuta kitu isipokua chumba nilicholala mimi tu na taa kawasha cha ajabu kabeba hiyo tv na remote yake tu pamoja na raba zangu zilizokua mlangoni nje na kuacha vitu kibao vya thamani ambavyo vilikua wazi tu.
Baada ya hapo katoka na funguo kafungua geti then funguo kazitupa mlangoni. Naamka sioni tv, kuchek mlango umerudishiwa tu kuzunguka nje nakuta funguo zangu ziko nje zimetupwa ikanibidi nicheke tu na kushukuru Mungu.
Katika mazingira ya kawaida sio rahisi mimi na wife kulala hivi lazima kuna ujanja wamefanya hebu tupeane uzoefu na namna ya kujikinga na hizi mambo jamani manake ni hatari sana.
Watu wengi huamini huibiwa na watu wanaowajua kitu ambacho c kweli saana.ila kwakujilinda style waliyo 2mia hakikisha chumba unacholala kuwe na mabeseni ya maji hata mawili yaliyo na maji na yawache wazi hutalala km walivyo kufanyia yashawatokea wengi hayo ndugu.
Yep Gymkhana pakosawa kiulinzi shida inakuja usirogwe kumsahau mpenzi pale!kwa hawa wapenzi wetu wasiojitambua itakuwa shida kuu!Mkuu Pole sana kwa tukio hulo.Na mumshukuru saana mungu kwamba mpo wazima.
Hembu tuambie Weekend yako uliianza vipi na kuimalizia jana kwa style ipi?
Maana kuna Mshkaji wangu yeye alilala nyumba yoote milango wazi,cha ajabu gari aliiacha Bar na yeye akakodi Taxi.
Cha kushangaza kuamka asubuhi akaanza kuitafuta gari na kusema imeibiwa,akaenda vituo vyoote vya Polisi kusema kwamba Gari yake Imeibiwa na nyumba imefunguliwa kwa Master Key.
Sasa alitokea jamaa mmoja mwenzie akamuambia mkuu haujavunjiwa nyumba wala haijafunguliwa,utakuwa ulilala milango wazo,jamaa alimtukana balaa,na kumuambia oyaaa mie ninaakili zangi timamu,siwezi kulala mlango wazi.
Basi jamaa akawa mstaarabu,na kumuambia unajua kwamba gari yajo uliicha Bar?na uzuri Bar yenyewe kwa mlio Zanzibar ni Gymkhana Bar ambapo ulinzi upo mzuri sana.Ikabidi jamaa aliganda akavuta kumbukumbu kwa aibu akasepa wiki nzima mtaani hayupo.
Sasa nakuuliza kujua je weekend yako iliishaje mkuu na mlikuwa nanani siku hiyo
Mambo ya bongo watu wanmadawa ya kulevya ya spray wanakupulizia kupitia dirishani baada ya dk kumi hivi waingia kama kwao vile huwezi hata kushtuka unakuwa kama umezimia hivi
chakufanya
ukilala hakikisha una chombo kilicho na maji na kiwe wazi kama jagi hivi pana kiasi
maji huweza kusharabu sumu hiyo na kuipunguza kwa kiasi kikubwa sana kiasi kwamba wewe na waliomo ndani si rahisi kusinzirishwa kwa sumu hiyo,
swali zaidi kama unalo
Asante mkuu.Kumbe sio Ghali kivilee.Mkuu German Shepherd mmoja akiwa na miezi kama 3 hivi unaweza mnunua kuanzia sh 300,000 mpaka 600,000 na ni vizuri ununue mdogo ili apate mafunzo unayotaka wewe, pili mafunzo kwa trainer inaweza cost sh 200,000 au zaidi kutegemeana na aina ya mafunzo unayotaka apewe, tatu Msosi wao mfano mimi huwa nachukua mahindi,dagaa, na calcium au damu kidogo nasaga basi kijana anawapikia wanakula wananenepa balaa.
Hahahaha,Bora pale Kuliko kwenda nae Dem mzuri mwisho wa mwezi pale Mombassa Mesi(Oposite SOS),wajeda mara wanasepa nade kama hajatuliaYep Gymkhana pakosawa kiulinzi shida inakuja usirogwe kumsahau mpenzi pale!kwa hawa wapenzi wetu wasiojitambua itakuwa shida kuu!
Hapo sipasogelea kabisa nikiwa na samaki asiyetulia !Hahahaha,Bora pale Kuliko kwenda nae Dem mzuri mwisho wa mwezi pale Mombassa Mesi(Oposite SOS),wajeda mara wanasepa nade kama hajatulia