St Lunatics
JF-Expert Member
- Aug 29, 2015
- 6,644
- 11,195
Jamaa ana sura nzito inaonekana hata akili yake ni nzito hivyo hivyo ,Kama kweli wewe ndiyo huyu pichani basi kichwani hauko sawa unaleta post za kitoto.![]()
-Ndumilakuwili-


Hahaha.. İtakua amechukua ikiwa chafu anaburudika na kale kaharufu.Aisee hiyo chupi unainusa huko ulipo au kuna kazi gani unaifanyia namuonea huruma mkeo kwa kupata mume kama wewe hasara tupu
Nilimwomba akaniambia naipeleka wapi????Napenda niione tuuu,akawa hakubali,,,,sasa ni lazima niibeInasikitisha sana...
JF-Expert member anaiba chupi ya mke...
Hii tabia inaelekea hujaianza leo ya udokozi...
cc: mahondaw
Ni kweli. Ikiwa safi haina mzuka kivile
Hakuna mpare kama ww.
Hahahaha, habari ndo hiyoNi kweli. Ikiwa safi haina mzuka kivile
Dampa hembu shunghulika na hili, Je ni la kipumba+______________? au la?Wadau Leo nipo safarini.Asubuhi nlimwomba wife chupi yake niondoke nayo akawa anagoma.Nilichofanya nikamuibia.Sa ivi anapiga Simu anadai Mali yake na amekua mkali..Huwa napenda kua na kanga au chupi take.Naombeni ushauri manake imekua kesi