Nimeiba chupi ya mke wangu

Nimeiba chupi ya mke wangu

Aisee..waume zetu mnatutia aibu. Kulikuwa hakuna haja ya kutueleza hiyo fantasy yako. By the way..ni chupi safi au chafu?
Hahaaa. Itakuwa chafu hiyo hivyo mke kaikumbuka wakati anataka kufua.
 
Wadau Leo nipo safarini.Asubuhi nlimwomba wife chupi yake niondoke nayo akawa anagoma.Nilichofanya nikamuibia.Sa ivi anapiga Simu anadai Mali yake na amekua mkali..Huwa napenda kua na kanga au chupi take.Naombeni ushauri manake imekua kesi
PUMBA VUUUU
 
Me Nilishawah Kusema Humu Kuna Ma Great Thinker And Non great Thinker We Need To Make An Interview Kuondoa Wote Wenye Mawazo Hasi
 
Aisee..waume zetu mnatutia aibu. Kulikuwa hakuna haja ya kutueleza hiyo fantasy yako. By the way..ni chupi safi au chafu?
Chafu ndo tamu,ndo huwa inakuwa na harufu ya kunusa!
 
Back
Top Bottom